Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
1.nisipoelewa ni hapo kwenye red. Inamaana dakika hiyohiyo ukaturushia sms????angalia muda uliopost.hali zenu jf!
Nimeona niiweke hapa hii taarifa kwa nia nzuri.
Nmekua nkisafiri mara kwa mara kwa usafiri wa anga...muda mwingine hua mchana...asubuhi...jion/usiku...ukaguzi hua shwari pale kwenye scaner!.
Lakin leo nmefika muda wa saa kumi na mbili jion...tena na mvua hizi za dar...nkawa nmechelewa muda wa ukaguzi...askari wakatazama kwa umakini wao bag yangu...wakawa kama wanahisi kitu...sikua na hofu maana vitu vya humo katika bag yangu ndio vya kila siku ya safari.
Ghafla akaja askari akaniomba akague nkamruhusu maana ni wajib wao...kapekua pekua hata sijui alikua anatazama vitu gani? Maswali yake hayakuniridhisha japo nami nlikua namjib kama alivyouliza!
Mwisho akaniruhusu nka-lock bag langu...na kuendelea na taratibu zingine!
Nkahisi labda ni jion ndio wamekua makini au ...?
Nawakilisha!
ni kawaida tu na inabidi kuvumilia
mimi niliwahi kuponea chupuchupu kuachwa Seoul kwa sababu ya hiyo sachi sachi! tena mimi walikuwa wananiruhusu kisha nikiondoka wananiita wanaanza tena, nilipogundua zimesalia 20 minutes mlango ufungwe ilibidi niwaachie mfuko mzima uliokuwa na vipodozi vyangu
ni kawaida tu na inabidi kuvumilia
mimi niliwahi kuponea chupuchupu kuachwa Seoul kwa sababu ya hiyo sachi sachi! tena mimi walikuwa wananiruhusu kisha nikiondoka wananiita wanaanza tena, nilipogundua zimesalia 20 minutes mlango ufungwe ilibidi niwaachie mfuko mzima uliokuwa na vipodozi vyangu
sIJAONA CHA AJABU KILICHOKUPATA!Hali zenu JF!
Nimeona niiweke hapa hii taarifa kwa nia nzuri.
Nmekua nkisafiri mara kwa mara kwa usafiri wa anga...muda mwingine hua mchana...asubuhi...jion/usiku...ukaguzi hua shwari pale kwenye scaner!.
Lakin leo nmefika muda wa saa kumi na mbili jion...tena na mvua hizi za dar...nkawa nmechelewa muda wa ukaguzi...askari wakatazama kwa umakini wao Bag yangu...wakawa kama wanahisi kitu...sikua na hofu maana vitu vya humo katika bag yangu ndio vya kila siku ya safari.
Ghafla akaja askari akaniomba akague nkamruhusu maana ni wajib wao...kapekua pekua hata sijui alikua anatazama vitu gani? Maswali yake hayakuniridhisha japo nami nlikua namjib kama alivyouliza!
Mwisho akaniruhusu nka-lock bag langu...na kuendelea na taratibu zingine!
Nkahisi labda ni jion ndio wamekua makini au ...?
Nawakilisha!
nashukuru kwa kutuelimisha maana wengine hadi safari inakuwaga mbaya na unasafiri na frustration kibaosijaona cha ajabu kilichokupata!
Hizo ni normal procedurea za security checks!...mbaya zaidi wewe unaonyesha ulikuwa ni last-minute-pax, ambapo abiria wa namna hiyo huwa ni suspects!...ukiona mtu anakuja na harakaharaka zake akiwa amechelewa ujue ana ujambo la hatari ambalo anataka liwe overlooked na staff wa security, kwa hiyo huyo ndiye anabanwa sana kiukaguzi!
Haikuniuma kunikagua! Waliona hicho kitu kipo upande gani? Hivyo angetazama kisha kuniruhusu ...ikawa anaendelea kukagua bag nzima...maswali ya ajabu ajabu! Mbaya zaidi tukacheleweshwa kuondoka tena na ndege ya Precision muda wa saa zaidi. Nlipo fika mwisho wa safari yangu nikawa nafungua bag yangu maana hua nafunga kwa namba...haikufunguka kama nlivyozoea...nkavunja! Kuangalia ndani nguo moja sikuiona! Ilhali pale kwa yule mkaguzi sikutoa kitu na nlifunga vizuri...bila kuacha kitu! Sijui haya mambo na wasafiri wenzangu yamewahi kuwatokea!mkuu sio kwako ama leo tu
kilichowafanya kuona ni machine ambao ipo kila siku;;kama ulipita na kitu cha chuma ukalia wakakuacha basi walikuwa wamelogwa sikuhiyo...ile machine inaonyesha kila kitu na mtu akipita na mzigo mbaya na kuingia ndan basi game imechezwa ama kaaga kwao hyo hata ukimfwatilia watafuta bomu la machozi mwenyewe
Sijakasirika kukaguliwa! Ikiwa mashine imewaonesha kuna kitu...kipo upande gani wa bag...ilitakiwa atazame upande huo huo...ile kuanza tena kukagua bag nzima na maswali mengine ndio nlikasirika!. Mbona hakukuta kitu?Hii inaonyesha ni jinsi gani Security wanavyo fanya kazi.
Hupashwi kulalamika.
Ni jamba la kawaida tu.
Nafurahi kwa maelezo yako. Sikulalamikia ukaguzi wao. Ni vile machine imewaonesha kitu walichotilia mashaka kipo upande gani? Hivyo angetazama upande huo...lakin kakagua bag zima. Na hakukuta kitu cha hatari. Maswali mengine ya ajab...hivyo hivyo kuna siku nlifuatana na wakenya nkakaguliwa wakaona chupa ya uturi(perfume) ikawa issue..nikawafungulia tena wakakuta ni hayo mafuta . Kwa kua ni bag hua siingii nayo ndani ya ndege haikua tatizo. Hata hiyo jana nlifuatana nao wakenya au wazambia. Sijajua zaidi nini hiyo?sIJAONA CHA AJABU KILICHOKUPATA!
Hizo ni normal procedurea za Security checks!...Mbaya zaidi wewe unaonyesha ulikuwa ni Last-Minute-Pax, ambapo abiria wa namna hiyo huwa ni SUSPECTS!...ukiona mtu anakuja na harakaharaka zake akiwa amechelewa ujue ana ujambo la hatari ambalo anataka liwe overlooked na staff wa security, kwa hiyo huyo ndiye anabanwa sana kiukaguzi!
Nafurahi kwa maelezo yako. Sikulalamikia ukaguzi wao. Ni vile machine imewaonesha kitu walichotilia mashaka kipo upande gani? Hivyo angetazama upande huo...lakin kakagua bag zima. Na hakukuta kitu cha hatari. Maswali mengine ya ajab...hivyo hivyo kuna siku nlifuatana na wakenya nkakaguliwa wakaona chupa ya uturi(perfume) ikawa issue..nikawafungulia tena wakakuta ni hayo mafuta . Kwa kua ni bag hua siingii nayo ndani ya ndege haikua tatizo. Hata hiyo jana nlifuatana nao wakenya au wazambia. Sijajua zaidi nini hiyo?
Mjomba,Nafurahi kwa maelezo yako. Sikulalamikia ukaguzi wao. Ni vile machine imewaonesha kitu walichotilia mashaka kipo upande gani? Hivyo angetazama upande huo...lakin kakagua bag zima. Na hakukuta kitu cha hatari. Maswali mengine ya ajab...hivyo hivyo kuna siku nlifuatana na wakenya nkakaguliwa wakaona chupa ya uturi(perfume) ikawa issue..nikawafungulia tena wakakuta ni hayo mafuta . Kwa kua ni bag hua siingii nayo ndani ya ndege haikua tatizo. Hata hiyo jana nlifuatana nao wakenya au wazambia. Sijajua zaidi nini hiyo?