Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Jan 25, 2016 #1 1. mbunge wa Mwibara CCM kwa staili ya pekee akiomba kura za ujumne utumishi bungeni 2. Tena mbunge wa Mwibara akivaa kininja asiwaonee haya wahusika wa IPTL...... Huyu mbuge sijui kama amerudi tena lol 3. Mbunge wa mbeya mjini abebwa juu juu baada ya kugoma kutoka sijui Bunge hili linaloanza wiki hii litakuaje maana ni bunge movie
1. mbunge wa Mwibara CCM kwa staili ya pekee akiomba kura za ujumne utumishi bungeni 2. Tena mbunge wa Mwibara akivaa kininja asiwaonee haya wahusika wa IPTL...... Huyu mbuge sijui kama amerudi tena lol 3. Mbunge wa mbeya mjini abebwa juu juu baada ya kugoma kutoka sijui Bunge hili linaloanza wiki hii litakuaje maana ni bunge movie
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Jan 25, 2016 #2 Mbuge ndio nn mzee, too much recurring mistakes
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Jan 25, 2016 Thread starter #3 allydou said: Mbuge ndio nn mzee, too much recurring mistakes Click to expand... Typing error dah