Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,604
Tumefungua Tawi La ccm sweden na luna wanachana wengi wana scandinavia wengi sana .watanzania wote wa nchi za Sweden,Norway,Finland,Danmank.Huko Nyuma nililikuwa nasikia viongozi wakienda kufungua mashina na matawi huko Ulaya na Marekani, je yalikuwa ya msimu tu nini mbona siku hizi hawafungui hayo mashina na matawi huko ughaibuni?!
Tumefungua Tawi La ccm sweden na luna wanachana wengi wana scandinavia wengi sana .watanzania wote wa nchi za Sweden,Norway,Finland,Danmank.
Sihitaji cheo wewe.nina kampuni kubwa sana inafanya vizuri nchi za Uk,uarabuni..na ujue mimi siyo nina njaa kama wewe kenge wewe.Sasa hivi hakuna ahadi za vyeo ukirudi Tz Kama enzi za mkwere!
Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
Povu kubwa sana bosi gani una povu kama sabuni ya ungaMwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
Hahaha safi sana. Hivyo nanyi huko ni Kazi tuTumefungua Tawi La ccm sweden na luna wanachana wengi wana scandinavia wengi sana .watanzania wote wa nchi za Sweden,Norway,Finland,Danmank.
Hahaha utanyimwa kazi kuwa mpole tuPovu kubwa sana bosi gani una povu kama sabuni ya unga
kijikampuni cha ufundi chuma.... hata miezi 12 hakina ushaanza kelele.Unatujua sisi?ungekaa kimya maana utahitaji kututafuta hapa hapa Uk kuomba kazi.Ndio tatizo la watu wa mikoa ileeeeeeeeeeeee ya kishamba shamba wakipata...............hata UK yeneyewe uko kwa shemeji yako....na kijikampuni hata website hakina hakina.......kazi kuvizia directory za watu.KENGE KENGE KENGE KENGE,akili za kenge hizi.Mwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
Mbona huulizi matawi ya chadema. Bado yanafunguliwa huko ughaibuni?Huko Nyuma nililikuwa nasikia viongozi wakienda kufungua mashina na matawi huko Ulaya na Marekani, je yalikuwa ya msimu tu nini mbona siku hizi hawafungui hayo mashina na matawi huko ughaibuni?!
Unauza usedMwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
Mwenyewe sijui kama si mjamaicakijikampuni cha ufundi chuma.... hata miezi 12 hakina ushaanza kelele.Unatujua sisi?ungekaa kimya maana utahitaji kututafuta hapa hapa Uk kuomba kazi.Ndio tatizo la watu wa mikoa ileeeeeeeeeeeee ya kishamba shamba wakipata...............hata UK yeneyewe uko kwa shemeji yako....na kijikampuni hata website hakina hakina.......kazi kuvizia directory za watu.KENGE KENGE KENGE KENGE,akili za kenge hizi.
hicho ni kisukuma au kizinzaMwambie huyo kenge aingie Google na angalie
Nshimba inyernational welding konsuntant limited uk
Au aangalie Niwec invest
Nimpe yeye kazi na ukoo wake wote.atachagua akaishi Oman.Dubai au Uk au sweden..
Walikuwa wachumia tumbo tu. Uchumu unaanguka unadhani wanaoathirika ni akina mbowe tu, hata mafisadi hawapati cha kuiba now.Huko Nyuma nililikuwa nasikia viongozi wakienda kufungua mashina na matawi huko Ulaya na Marekani, je yalikuwa ya msimu tu nini mbona siku hizi hawafungui hayo mashina na matawi huko ughaibuni?!
Acha Kutoka nje ya Mada gambaMbona huulizi matawi ya chadema. Bado yanafunguliwa huko ughaibuni?
Mada gani hii inayoangalia upande mmoja tu, kamanda? Mimi najaribu kukumbusha tu.Acha Kutoka nje ya Mada gamba
Ova