Yale Mambo yenu ya KuJailbreak iphone/ipod/ipod touch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yale Mambo yenu ya KuJailbreak iphone/ipod/ipod touch

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Oct 8, 2012.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,356
  Likes Received: 3,494
  Trophy Points: 280
  naaam wakuu, kwa wale wanaotaka kuzijailbreak iphone au ipod zao kuanzia iOS 3.0 mpaka 4.3.2 wanaweza kunipm niwaforwadie hizo softwares. nimeshindwa kuzi archive zote nakuziattach hapa due to limited bundle so unaweza ni check uniambie unataka ya OS gani nikufowardie thru email. NB: UNLOCK @UR OWN RISK......!!!!!
   
 2. bface

  bface Senior Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nipatie ya iOS 6 thru this mail bnjonjo@gmail.com
   
 3. j

  julisa JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Vipi ya iphone4 ya 4.3.5?
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kwa sasa haijapatikana jail break ya iOS 6 ipo mpaka 5.1.1 mni pm pia ni zoezi la dk 5 tu. Na ni kwa iphone until 4S, ipod na ipad 1,2 n 3 pia. Also ntakupa maujanja ya jinsi ya kuanza kutumia Cydia na faida zake. But kwanza nenda kwa mwanzisha thread kama kuna mengine zaidi ndo uje kwangu.
   
Loading...