Yako wapi makao makuu ya Total?

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,303
50,470
Habari zenu,
naombeni msaada wa haraka wa kuweza kufika makao makuu ama Ofisi za kampuni ya mafuta Total Tanzania, kwa hapa Dar es salaam,
au kama kuna mhusika yeyote tafadhali naomba uniPM.
 
Panda daladala za Msasani au ambazo zinaishia Masaki. Ukifika Masaki mwisho chukua boda boda waambie wakupeleke Staywell apartments. Ndio wako hapo ni karibu kabisa na Marrybrown ya Masaki.
 
Back
Top Bottom