Yako wapi magari ya Lake Oil?

Yapo jana nimeyaona pale Mizani Makambako kama ishirini hivi ingawa mwenyewe nilishangaa kuona yakiwa mengi kwa kitambo
 
Kweli aisee, ila watu mko makini..... Lakini gesi mbna bado wanasupply tu (Lake gas)
 
Kama yameuliwa nahisi ajira kubwa sana itakuwa imepotea
Ina maana na reli zitafufuliwa sababu moja ya sababu ya reli kuhujumiwa ni watu kama Lake Oil kuua barabara na kuhujumu miundo mbinu yote ili tenda za matengenezo ziwepo kila siku na malori yatembee ili pesa ziingie mifukoni. Ni rahisi kudhibiti mzigo wa usafiri mmoja lakini si rahisi mzigo huo huo ukiwa kenye magari 50 ukaudhibiti. Utapigwa tu!!!!!
 
Naomba kazi nami niendeshe mnyama wa ki south!
 
Acheni upumbavu vyura nyie...acheni kufatilia mambo ya watu...mnashinda mitandaoni kufatilia maisha ya watu.
 
H
Sidhani km inshu ni wivu?tatizo hapa hizi biashara nyingi zinafanywa kijanjajanja na hawalipi kodi stahiki matokeo yake nchi haifaidiki kwa lolote.Mfn hawa lake inasemekana wanadeclea mafuta kua niya transist tra ila mwisho wake wanayauza hapa kwa ewura price, mafuta ya transist hayana kodi then wao wanayaingiza kwy mzunguko(localisation) kwa bei ya ewura then wanakula cha juu na kodi hawalipi.Huo ni ukwepaji kodi na udanganyifu.Hii ndio inshu mkuu.
 
Yapo vijibweni kuna sehem yame park hayana kazi na pale kwenye storage inasemekana matank yote ni matupu.
 
we jamaa mbona unaonekana kama una upeo kwa nini unang'ang'ana na kazi za warabu si uende zako joberg ukakamate michuma freightliners usebenze kwenye kona za kasumbaresa huko aisee
 
Yapo vijibweni kuna sehem yame park hayana kazi na pale kwenye storage inasemekana matank yote ni matupu.

Lake trans yale mafuta unaona anasafirisha most of them n ya dalbit yeye anafanya kuyahifadhi yakija na kuyasafirisha
 
we jamaa mbona unaonekana kama una upeo kwa nini unang'ang'ana na kazi za warabu si uende zako joberg ukakamate michuma freightliners usebenze kwenye kona za kasumbaresa huko aisee

Sasa freightliner umeona ni gar huko kote unakosema tumepita kinyama yani kuanzia kongo mpka sauz namibia beira tushamaliza.
 
Sasa freightliner umeona ni gar huko kote unakosema tumepita kinyama yani kuanzia kongo mpka sauz namibia beira tushamaliza.
kifupi mimi nimelenga maslahi siamini kama mwarabu analipa zaidi ya kampuni za kizungu plus mazingira ya kazi....inaonekana kama ushakunywa maji yaliyofulia kanzu za warabu karagabaho
 
kifupi mimi nimelenga maslahi siamini kama mwarabu analipa zaidi ya kampuni za kizungu plus mazingira ya kazi....inaonekana kama ushakunywa maji yaliyofulia kanzu za warabu karagabaho

Baba sauz tushafanya na kampuni kama 2 na namibia lakin nimeona nirudi home mi muuza dizel tu ndo ninachopendea bongo ila sio ishu.
 
Umemsahau Dhando..mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…