Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
ALAFU NASIKIA VITUO VYAKE VYA MAFUTA MAUZO WALIKUWA HAWAPELEKI HELA BENK, KULIKUWA NA MAGALI LAND CRUICER NDO YALIKUWA YANAPITA NA KUKUSANYA PESA ..
Hahahaha hata mimi nimemuelewa, alitaka apate sapoti kua jamaa wamefilisika,Unafikiri tatizo lake ni kuona kuwa Lake inapeta? la hasha.
Yeye kinachomsunbua ni wivu, alitaka kusikia kuwa Lake is no more.
Hapo saa hizi roho inamuuma kwa Kusikia Lake Oil bado wapo Imara.
Hakuna ukweli wowote juu ya hilo.Kwanini hawapeleki pesa bank? Halafu kwani ni kosa kutopeleka pesa bank?
tulicho mfanyia hatakaa asahau huyo bosi wao,derevawake alimgonga bodaboda alafu hakusimama baadae akakimbilia ofisini,tukamkuta huyo jamaa analindwa balaa ila tulimkalisha na bodaboda akapata stahiki zake
Mleta mada nadhani umeshapata majibu,
Kampuni ya Lake Oil ipo na inapiga kazi kama kawaida.
So Relax mkuu.
Wanatetea au wanaongea kweli?Uzi umevamiwa na watetezi wa lake oil "interesting"late wait and see
*Late wait and see=Let's wait and see.Uzi umevamiwa na watetezi wa lake oil "interesting"late wait and see
Baelezeeee Baeleweeee.Hajui lake oil n group of companies kuna Lake oil depot
Lake oil gesi
Gulf premix mambo ya ujenzi kuna lake trans zile gar za cargo ambazo hazion wanapga transit kuna African Inland container depot iko nyuma ya tazara depot ya makontena sasa huko ndo n shida gari zake ba yadi yake kaua mbayaa af baba ake ana kampun ya magar inaitwa edha awadh au overlandlogistics dada ake ndo mwenye azania kama azam pale tazara...!!!! Sasa hawa sijui mtoa mada atawakuta wap
Uzi umevamiwa na watetezi wa lake oil "interesting"late wait and see
*Late wait and see=Let's wait and see.
Basi nukajua labda kwa sababu siku hizi nimepunguza safari za mikoani ndo maana siyaonagi! He kumbe hayapo!! :Waungwana,
Mwaka jana tulikuwa tunaona magari makubwa ya mafuta yenye chata ya Lake Oil, ila kipindi cha mwisho wa kampeini za uchaguzi magari hayo hayakuonekana barabarani tena hadi sasa.
Hivi kilitokea kitu gani kwa hayo magari, na je! Mmiliki wa magari hayo alikuwa nani? Kama anajulikana hana harufu ya watumbuliwaji?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Watakuwa wamebadilisha biashara...biashara ya mafuta siku hizi hailipi baada ya zile mita kufumaniwa!!
Wabongo ni shida sana sisi tunapga trip hatukai nyumbani na gari za Lake oil tatzo mmekariri hiz gar zinazunguka east and central africa kaz kama kawa Gar ukiona yadi ujue n service ila gar kama kawaida n kaz mpka unatamani urudishe gar uombe likizo oda zimekua za kutosha mpaka inabid aombe gari kwa baba ake edha awadh.
Sisi Watanzania tuna wivu sana
Kiufupi hatupendi mtu aendelee zaidi yetu
Hata raisi wetu hapendi watu waendelee ndio maana anataka watu waishi kama shetani
Tufanyeni kazi tuishi tutakavyo kwa kumpendeza Mungu
Haya majungu na kutakiana mabaya hayatusaidii kamwe
Kwanini uombee kampuni ya mtu ife badala ya kumuombea afaidike zaidi ili watu na familia zao zipate ajira?
Lake ikifa unajua familia ngapi huumia?
Mi nawapenda matajiri wote na sina tatizo nao