Yako wapi magari ya Lake Oil?

Mh! hata Lugumi tuliambiwa hayo hayo lakini mpaka sasa sarakasi tu, kuna majipu si ya kutumbua tulijibiwa na Lugumi.
MDA UKIFIKA YATATUMBUKA TU
 
Itakuwa wamehama bandari. Labda wemehamia Msumbiji au Kenya. C unasikia mizigo imepungua bandarini?
 
Magari yapo mengi tu,njoo kibaha picha ya ndege ndio headquarter ya lake oil,dar yamehamishwa ktkn na ufinyu was eneo na foleni.
 
Mkuu naona umesahau ule usemi unaosema usionee kambale onea dagaa....sijui ni sawa? Kuna sehemu za kuguswa mzee.
 
Magari yote yapo garage! Kuna scania top line kama 300 za oilcom zipo majini zinakuja! Mkao wa kula tu
 
Mbona last week nimekutana nalo mlandizi wakati natoka mbeya.
 
Tena hawa jaamaa wanadaiwa pesa nyingi na serikali kwa kukwepa kodi, vipi wameshalipa au upepo ulipita tu.
Kuna mdau alinidokeza kwamba mengi yalihamishiwa nchi jirani Msumbiji na Zambia, sijui kama ni kweli lakini make za kuambiwa...
 
Kuna mdau alinidokeza kwamba mengi yalihamishiwa nchi jirani Msumbiji na Zambia, sijui kama ni kweli lakini make za kuambiwa...
HATA MIMI NILISHAWAHI SIKIA HABARI HIZO
 
Kuna mdau alinidokeza kwamba mengi yalihamishiwa nchi jirani Msumbiji na Zambia, sijui kama ni kweli lakini make za kuambiwa...
so, wamekimba magari ili yasitaifishwe wakishindwa kulipa kodi?! kazi ipo.
 
hata siyajui hayo magari ndo nashangaa hapa kwani yalikuwepo tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…