ALAFU NASIKIA VITUO VYAKE VYA MAFUTA MAUZO WALIKUWA HAWAPELEKI HELA BENK, KULIKUWA NA MAGALI LAND CRUICER NDO YALIKUWA YANAPITA NA KUKUSANYA PESA ..miezi michache iliyopita Takukuru ilisema inafanya uchunguzi wa kesi ya hii kampuni ya kukwepa kodi ya shilingi bilioni 8 kwa kuuza mafuta nchini mafuta ambayo yalitakiwa kupelekwa Congo
Mh! hata Lugumi tuliambiwa hayo hayo lakini mpaka sasa sarakasi tu, kuna majipu si ya kutumbua tulijibiwa na Lugumi.WATALIPA TU .. KWA JPM WATATOSHA
BankALAFU NASIKIA VITUO VYAKE VYA MAFUTA MAUZO WALIKUWA
HAWAPELEKI HELA BENK, KULIKUWA NA MAGALI LAND CRUICER NDO YALIKUWA YANAPITA NA KUKUSANYA PESA ..