Yako wapi Mabasi ya Mwendokasi?

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Tukisema hatumpi Magufuli kura mnang'aka. Mnakuwa wakali huku kutwa kucha mnakuja na propaganda mpya na chafu... Nisiingie huko.

Naomba wale vindakindaki na mgombea wao wawajibu Watanzania. Tena Leo hii wala isingoje kesho. Kwanini mmezidi kuwa na ahadi hewa za kuwahadaa wananchi?! Mabasi ya Mwendo Kasi yako wapi nyie kijani na njano?!

Mmeowaonjeza ile siku ya kwanza kwa kuwapakia bure. Sasa tuelewe kuwa mlinunua magari then hamkuwa na mafuta? Ama mmeyapeleka Nairobi kuweka sawa ile milango yetu kama koti la Mzee Wasira?! Au mbwembwe za pressure za kukabidhi Ikulu October?!
Lizabon sijui Lizangati kuja hapa ujibu. Kura zinazidi kupungua kwa ccm-kuchereee...a.k.a Mzee wa Kushangaa (foreigner)
 
Last edited by a moderator:

Yanapita kwa kasi zaidi ya mwanga (light) hivyo hawezi yaona wala kupanda. Kwa lugha nyingine ni kiini macho!
 
Last edited by a moderator:
haya mabasi itakua tulipigwa changa la macho... yamezunguka siku moja yakapotea yote!!! mbaya zaidi vituo vyao vimeshaharibika vya kutosha
 
ule mradi ulikuwa bado haujakamilika kwa asilimia mia ambapo inajumuisha mpaka kuleta mabasi ya kutosha kuanza mradi....lakini kwa ajili ya kuwapumbaza wananchi wa dar es salaam ili wawapigie kura wakalazimisha kuyaleta mabasi mawili tu ya demo yaani maonyesho kwa kisingizio cha kutoa mafunzo kwa madereva lakini lengo hasa ni kuwarubuni wapate kura!!!!kama kusingelikuwa na uchaguzi karibuni mbwembwe zile zisingefanywa!ndivyo ccm ilivyozoea kufanya mambo kwa ujanja ujanja tu
 
Ccm wametoa agizo kuwa mabasi hayo yaingizwe mwisho mwisho wa kampeni ili wapate kura nyingi hii nchi imeoza hata kazi za kiutendaji wanasiasa wanaziingilia hasara kwetu wananchi sio hilo tu,mkoa halmashauri na manispaa walitumia pesa kibao kusafisha jiji wamachinga wakaondolewa barabara zikawa zinapitika kariakoo ikapendeza,mara mbunge wa ilala zungu akaibukia bungeni na kuingila watendaji wa mkoa jiji na manispaa angalia sasa ilivyo vurugu kariakoo hapapiti pesa yote imetumiwa vibaya na unasubiriwa uchaguzi upite ili waondolewe kwa gharma nyingine
 
Saa nyingine naamini Mkapa alikua sahihi. Yale mabasi walileta kwa ajili ya mafunzo na mrado utaanza october na ilitangazwa kabisa. naona siasa inewalevya
 
Tukisema hatumpi Magufuli kura mnang'aka. Mnakuwa wakali huku kutwa kucha mnakuja na propaganda mpya na chafu... Nisiingie huko.

Naomba wale vindakindaki na mgombea wao wawajibu Watanzania. Tena Leo hii wala isingoje kesho. Kwanini mmezidi kuwa na ahadi hewa za kuwahadaa wananchi?! Mabasi ya Mwendo Kasi yako wapi nyie kijani na njano?!

Mmeowaonjeza ile siku ya kwanza kwa kuwapakia bure. Sasa tuelewe kuwa mlinunua magari then hamkuwa na mafuta? Ama mmeyapeleka Nairobi kuweka sawa ile milango yetu kama koti la Mzee Wasira?! Au mbwembwe za pressure za kukabidhi Ikulu October?!
Lizabon sijui Lizangati kuja hapa ujibu. Kura zinazidi kupungua kwa ccm-kuchereee...a.k.a Mzee wa Kushangaa (foreigner)

Na hiyo ilikua moja ya risasi za ccm dhidi ya ukawa. Pipoooz
 
Last edited by a moderator:
Yalikuwa kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni , jaribu kufuatilia muda na siku na kilichofuata baada ya hapo
:A S shade::A S shade::A S shade:
 
Saa nyingine naamini Mkapa alikua sahihi. Yale mabasi walileta kwa ajili ya mafunzo na mrado utaanza october na ilitangazwa kabisa. naona siasa inewalevya

Kuna mzee mmoja alisema 'kama JF inawakilisha mawazo ya vijana wa nchii,basi tuna tatizo kubwa'....nakubaliana na huyo mzee kwa kusoma comments za watu JF.

Na kweli Mkapa alikuwa sahihi.
 
...navyojua mimi unaweza kuwa pumbavu kwa hili ukawa mwerevu kwa lile,we unataka kujifanya ni mwerevu wa kila jambo sio.?!
#kenge
 
Tulizindua baadaye madereva ndiyo wakaeda darasani na mabasi ndiyo kwanza tumeagiza mabasi 70 Pls vuteni subira kidogo wamalizie masomo yao ya darasani hapa nchini na ya vitendo huko China muje muone kazi tuuuu mara mabasi yakiinga nchini. Nchi hiii kwa mipango we acha tuuuuuuuuuuh
 
...navyojua mimi unaweza kuwa pumbavu kwa hili ukawa mwerevu kwa lile,we unataka kujifanya ni mwerevu wa kila jambo sio.?!
#kenge

Ndio nazidi kukubaliana na yule mzee....Ni wapi nimezungumzia uelevu wangu??!!
 
Back
Top Bottom