Wakuu kweli kabisa CDM imefanya kikao lakini hakuna hata chembe ya habari toka huko ndani? Sijui habari za Botilo lakini hili la kutaka taarifa ya jinsi wabunge walivyoisimamia serikali ili hali kuna mchakato wa kutaka kupeleka hoja ya kutokuwa na imani na PM kidogo nilishtuka.
itakuwa degedege kabisa kama sio polio
Kikao chao kimevunjika Slaa na Zito wamepishana kauli na kurushiana maneno makali
Good point.Ubishi hausaidihi CDM ni chama na kinaongozwa na watu na siku zote kujadiliana jambo na kutofautiana ndani ya vikao vya chama ni kawaida viongozi wa CDM si miungu kiasi kwamba wasitofautiane, inawezekana ikawa kweli msibishe tu jamani cha msingi ni kumuomba tu mungu hali hiyo isijetokea ikavuruga chama!
Hoja ya zito kumtk wzr mkuu kujiuzulu haikuwa na baraka za chama zito alkw anahoji mamlaka ya Slaa kudai hayo more updates soon kuna kichwa kule ndani ndo kimenibonyezea hii kwanza
Kwa jinsi ulivyo, kama hili lingekuwa hivyo ungeshalianzishia thread badala ya kumjibu mwingine.Kama mi mwongo subirini na make kitako kusikia mtokoto uliotokea sijui mtakimbilia wapi mpasuko upo mkubwa tuu!tuache ushabiki hali si nzuri baada ya kikao kuvunjika
Kama ilikuwa haina baraka ya chama,mbona mwenyekiti aliiunga mkono na kuitetea kwa nguvu pia wanachadema wote bungeni kusaini petition?
Hiyo habari yako ni grapevine.
Hoja ya zito kumtk wzr mkuu kujiuzulu haikuwa na baraka za chama zito alkw anahoji mamlaka ya Slaa kudai hayo more updates soon kuna kichwa kule ndani ndo kimenibonyezea hii kwanza
Mafilili in action, actually stupid action!Kikao kimekosa maana mara baada ya CC ya CCM kutoa tamko la kusudio la JK la kufanya mabadiliko yenye TIJA kuwatosa mawaziri na watendaji serikalini waliofisadi mali za umma
Tumaini Makene tuletee maamuzi ya kikao.