Yajue yafuatayo kuhusu ubongo wa mwanadamu

hydroxo

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
3,247
6,769
1.Ubongo wa mwanadamu unachukua 2% ya uzito wote wa mwili .

2.Kwa wastani ubongo wa mtu mzima una kilo moja na nusu(1.5Kg))

3.Ubongo wa mtoto wa miaka miwili una ukubwa wa asilimia 80 sawa na ubongo wa mtu mzima.

4.Ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika ulimwengu.

6.Kwa kawaida 3/4 ya damu yote inayotokoka kwenye moyo uenda kwenye ubongo.

7Ubongo wa mwanadamu unahitaji 20% ya gesi yote ya oksijeni hiingiayo mwilini ili uwe active.

8.Ukosefu wa oksijeni kwa zaidi ya dakika 5 katika ubongo hupelekea uharibufu wa ubongo.

9.Karibu asilimia 73 ya ubongo wa mwanadamu ni maji na ukavu wa ubongo kwa 2% ya maji yote uathiri kumbukumbu na ufikiri.

10.Ubongo ndiyo ogani peeke mwilini isiyo na seli za kupokea na kuhisi maumivu hivyo hata ukiuchoma ubongo kwa sindano uwezi kuhisi maumivu yoyote yale.

11.Ubongo wa mwanamme ni mkubwa kwa 10% zaidi ya ubongo wa mwanamke.

12.Zaidi ya chemical reaction 100,000 hutokea katika ubongo kwa kila sekunde moja.
 
1.Ubongo wa mwanadamu unachukua 2% ya uzito wote wa mwili .

2.kwa wastani ubongo wa mtu mzima una kilo moja na nusu(1.5Kg))

3.ubongo wa mtoto wa miaka miwili una ukubwa wa asilimia 80 sawa na ubongo wa mtu mzima.

4.ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika ulimwengu.

6.kwa kawaida 3/4 ya damu yote inayotokoka kwenye moyo uenda kwenye ubongo.

7.ubongo wa mwanadamu unahitaji 20% ya gesi yote ya oksijeni hiingiayo mwilini ili uwe active.

8.ukosefu wa oksijeni kwa zaidi ya dakika 5 katika ubongo hupelekea uharibufu wa ubongo.

9.karibu asilimia 73 ya ubongo wa mwanadamu ni maji na ukavu wa ubongo kwa 2% ya maji yote uathiri kumbukumbu na ufikiri.

10.ubongo ndiyo ogani peeke mwilini isiyo na seli za kupokea na kuhisi maumivu hivyo hata ukiuchoma ubongo kwa sindano uwezi kuhisi maumivu yoyote yale.

11.ubongo wa mwanamme ni mkubwa kwa 10% zaidi ya ubongo wa mwanamke.

12.zaidi ya chemical reaction 100,000 hutokea katika ubongo kwa kila sekunde moja.
Namba nane nina wasiwasi nayo kwa jinsi hewa ya oksijen ilivyo muhimu kwa ubongo.Dakika 5 ulizosema ni nyingi mno; kusema kweli oksijen ikikosekana kwa sekunde moja tu ubongo unaharibika na kushindwa kufanya kazi.
 
13.asilimia 20 ya joto lote lizalishwalo mwilini huchukuliwa na ubongo.

14.ubongo wa mwanadamu huwaza mara 50,000 siku huku asilimia 70% ya mawazo hayo ni hasi.

15.taarifa husafirishwa kwa mwendo wa maili 260 kw saa katika ubongo.
 
1.Ubongo wa mwanadamu unachukua 2% ya uzito wote wa mwili .

2.kwa wastani ubongo wa mtu mzima una kilo moja na nusu(1.5Kg))

3.ubongo wa mtoto wa miaka miwili una ukubwa wa asilimia 80 sawa na ubongo wa mtu mzima.

4.ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika ulimwengu.

6.kwa kawaida 3/4 ya damu yote inayotokoka kwenye moyo uenda kwenye ubongo.

7.ubongo wa mwanadamu unahitaji 20% ya gesi yote ya oksijeni hiingiayo mwilini ili uwe active.

8.ukosefu wa oksijeni kwa zaidi ya dakika 5 katika ubongo hupelekea uharibufu wa ubongo.

9.karibu asilimia 73 ya ubongo wa mwanadamu ni maji na ukavu wa ubongo kwa 2% ya maji yote uathiri kumbukumbu na ufikiri.

10.ubongo ndiyo ogani peeke mwilini isiyo na seli za kupokea na kuhisi maumivu hivyo hata ukiuchoma ubongo kwa sindano uwezi kuhisi maumivu yoyote yale.

11.ubongo wa mwanamme ni mkubwa kwa 10% zaidi ya ubongo wa mwanamke.

12.zaidi ya chemical reaction 100,000 hutokea katika ubongo kwa kila sekunde moja.

asante kwa kunikumbusha elimu niliyosoma nikiwa darasa la tatu tu mwaka 1988.
 
Ningependa kuuliza hivi ni kiungo gani cha kwanza kutengenezeka pindi mtt anapotungwa..?
 
Namba nane nina wasiwasi nayo kwa jinsi hewa ya oksijen ilivyo muhimu kwa ubongo.Dakika 5 ulizosema ni nyingi mno; kusema kweli oksijen ikikosekana kwa sekunde moja tu ubongo unaharibika na kushindwa kufanya kazi.
Dakika 5 ni kiwango cha mwisho hakuna kiumbe anayeweza kuzivuka, ingawa pia kuna wengine wakikosa oksijeni hata kwa dakika 3 tu seli za ubongo huanza kuharibika inategemea mtu na mtu na mazingira aliyopo.

sekunde moja unayosema wewe si kweli(tetea kwa vigezo) ni mda mchache mno kwa cerebral hypoxia kuanza kutokea.

La mwisho kasome ujue maana ya cerebral hypoxia na sababu yake.
 
Binadamu ukiambiwa umekufa ni pale ubongo unapokufa/au acha Fanya kazi na sio pale moyo/unapoacha Fanya Nazi au kufa.
 
Hiyo ya kwanza inapoteza maana kwavile uzito kutoka mtu na mtu vinatofautiana sana. Sidhani kama mtu akiongezeka uzito toka 50kg hado 90kg vinaenda sambamba na ongezeko la uzito wa ubongo. Namba mbili ingetosha kabisa na override ya kwanza
 
Back
Top Bottom