evelomeredaki
Member
- Mar 29, 2013
- 30
- 2
1)utajua kuwa man anacheza
2)utajua kuwa man u ni wenyeji
3)utajua kuwa man u watavaa jezi nyekundu
4)utajua kuwa nyimbo gani zitaimbwa sn
5)utakadiria idadi ya watu watakaoingia uwanjan
6)utajua kuwa furguson atavaa suti gan
7)utajua kuwa furguson atakula bigjee gan
8)utajua magoli yatapatikana dakika za mwanzo ikibidi
9)utajua spirit wanayokuwa nayo wachezaji
10)utajua tu mwisho wa siku points 3 hubaki hapo.GGMAN U