1. Kutokiri makosa
2. Kutoa hewa chafu hadharani
3. Kumuangalia mwananke mwingine
4. Kukoroma usingizini
5. Kukataa kufanya kazi zaid ya moja
6. Kutomfanyia vitu vya kumshangaza
7.Kutomsikiliza mwanamke
8. Kuangalia mpira/michezo
9. Kutofanya kazi za nyumbani
10. Kuhodhi rimoti ya TV
Source: BBC
Yawezakuwa anachukia moja au zaidi ya moja, lkn lilio muhimu zaidi kwa hawa viumbe akili ya ziada inahitajika katika kuishi nao.
Kwa upande wako wewe;
(Ke) Kipi unachukia?
(Me) Kipi unamchukiza nacho?
Uko vizuri sana sana1. Kutokiri makosa
2. Kutoa hewa chafu hadharani
3. Kumuangalia mwananke mwingine
4. Kukoroma usingizini
5. Kukataa kufanya kazi zaid ya moja
6. Kutomfanyia vitu vya kumshangaza
7.Kutomsikiliza mwanamke
8. Kuangalia mpira/michezo
9. Kutofanya kazi za nyumbani
10. Kuhodhi rimoti ya TV
Source: BBC
Yawezakuwa anachukia moja au zaidi ya moja, lkn lilio muhimu zaidi kwa hawa viumbe akili ya ziada inahitajika katika kuishi nao.
Kwa upande wako wewe;
(Ke) Kipi unachukia?
(Me) Kipi unamchukiza nacho?
Yote hayo hayanikeri hata kidogo...ila asiniingizie mbu kwenye neti, nachukia sana!
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Nisiangalie mpira, huyo demu anawazimu?
Kwa hiyo wanataka aingie mwakani?Pia wanaume hawapendi mwanamke aingie mwezini.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Kuna jamaa alisema yeye anatumia akili ili kutafuta maisha sio kwa ajili ya kuitumia kwenye kuishi na mtu mzima mwenye mavvuzi hd mattakon!!hahaha ni matumizi mabaya ya akili
Ndio.Kwa hiyo wanataka aingie mwakani?
Hii inamuuma mke wangu,hatari. Sio kutumia tu ndani. Yaani wanatamani chochote unachokifanya kwenye simu wapewe uwezo wa kuvijuaKutumia simu ukiwa ndani, af asione unachofanya kwenye io cm
Wangekua na uwezo, Kuna wa2 2ngetembea na CCTV kichwanHii inamuuma mke wangu,hatari. Sio kutumia tu ndani. Yaani wanatamani chochote unachokifanya kwenye simu wapewe uwezo wa kuvijua
HIyo ya utatu ni ubinafsi tuu....sasa mwanamke mzuri amepita nisimuangalie kwani mzuri upo peke yako.1. Kutokiri makosa
2. Kutoa hewa chafu hadharani
3. Kumuangalia mwananke mwingine
4. Kukoroma usingizini
5. Kukataa kufanya kazi zaid ya moja
6. Kutomfanyia vitu vya kumshangaza
7.Kutomsikiliza mwanamke
8. Kuangalia mpira/michezo
9. Kutofanya kazi za nyumbani
10. Kuhodhi rimoti ya TV
Source: BBC
Yawezakuwa anachukia moja au zaidi ya moja, lkn lilio muhimu zaidi kwa hawa viumbe akili ya ziada inahitajika katika kuishi nao.
Kwa upande wako wewe;
(Ke) Kipi unachukia?
(Me) Kipi unamchukiza nacho?