Ngoja nione pakuanzia mwanzo Yale magari nilikuwa nayaogopa sana siyo kwa sababu ya bei No ,hofu yangu ilikuwa nikizitizama zile gari nikawa naziona kama zipo ki computerized sana so nikawa nawaza hivi likiniharibikia Hanang huku mafundi hadi watoke Chugga dah!