Yajue madhara ya kufanya mapenzi Kinyume na maumbile

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Magonjwa ya zinaa sehemu ya haja kubwa (Anorectal STIs) huweza kusambazwa kwa kuingiliwa kinyume na maumbile, au kunyonywa sehemu ya haja kubwa kwa kutumia ndimi, au kuingizwa vidole sehemu ya haja kubwa (fingering), jambo ambalo huweza kusababisha maambukizi yasiyo na dalili (asymptomatic), michubuko, kaswende, kuharibika njia ya haja kubwa (proctitis), kujihisi kupata choo muda wote (tenesmus), kutokwa na damu au uchafu pamoja na maumivu.

Kuingiliana kinyume na maumbile kunaweza kusababisha usafirishaji wa aina nyingine ya vimelea vya maambukizi kama ''hepatitis A, Shigella, Salmonella, Giardia na HIV.

Screenshot-41.png
 
View attachment 1508307
Watu watapigia nyeto hiyo picha, tafuta yenye movie movie kidogo!!
 
Back
Top Bottom