Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,981
๐๐๐Mi sikupendi
๐๐๐Mi sikupendi
Mimi huwa nashangaa watu wanaotoa majibu ya ovyo, sijui huwa wanajionaje.Ila ni ukweli..humu usitukane hovyo hovyo kuna watu wa heshima..yani wazee kabisa..
Hata mm mmojawapo kuna muda navurugwa ila nimeacha kuna incidence ilitokea nikasema sio kila mtu wa kumtolea maneno machafu...maana duu..Mimi huwa nashangaa watu wanaotoa majibu ya ovyo, sijui huwa wanajionaje.
Hapo tunaita โpoint of maturity โ, hupaswi kumjibu mtu vibaya jamani. Kama humu hatufahamiani, umeanzisha uzi tu matusi hayo yanafuata, kejeli yaani ilimradi tu wakukosoe. Mimi naona njia sahihi ni kueleweshana tu sio kutukunana.Hata mm mmojawapo kuna muda navurugwa ila nimeacha kuna incidence ilitokea nikasema sio kila mtu wa kumtolea maneno machafu...maana duu..
Sure dear...sema vichwa vimetofautianaHapo tunaita โpoint of maturity โ, hupaswi kumjibu mtu vibaya jamani. Kama humu hatufahamiani, umeanzisha uzi tu matusi hayo yanafuata, kejeli yaani ilimradi tu wakukosoe. Mimi naona njia sahihi ni kueleweshana tu sio kutukunana.
KabisaSure dear...sema vichwa vimetofautiana
๐๐๐๐๐๐๐Singo maza yamemkuta yapi tena
๐ ๐ ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ ๐คฃDah[emoji23][emoji23][emoji23] mipasho ya moto kweli kweli[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kuna vijana ambao bado wako immaturity na wengine wanatokea kwenye malezi mabovu.Hapo tunaita โpoint of maturity โ, hupaswi kumjibu mtu vibaya jamani. Kama humu hatufahamiani, umeanzisha uzi tu matusi hayo yanafuata, kejeli yaani ilimradi tu wakukosoe. Mimi naona njia sahihi ni kueleweshana tu sio kutukunana.
"""wengine wanatokea kwenye malezi mabovu.""""๐๐๐๐๐ค๐ค๐คHumu kuna vijana ambao bado wako immaturity na wengine wanatokea kwenye malezi mabovu.
Hii ndiyo sababu, ishu ya mtu kuwa mzee sio mbaya ni muda wake umefika.
Hakuna ๐คUnique Flower umenichekesha kweli, sijui vilainisha viuno kwa wanawake vipo?๐๐
Washazoea michambo, kejeli na matusi sio watu wenye staha, sasa mtoto kalelewa manzese au tandika unategemea awe na adabu na heshima."""wengine wanatokea kwenye malezi mabovu.""""๐๐๐๐๐ค๐ค๐ค
Wapoje hao..?
๐ค๐ค๐ค๐ค Daah vijana wa hovyo...Washazoea michambo, kejeli na matusi sio watu wenye staha, sasa mtoto kalelewa manzese au tandika unategemea awe na adabu na heshima.