PEVU HALISI JF-Expert Member Joined Dec 19, 2018 Posts 207 Reaction score 85 Dec 21, 2018 #1 Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo
Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,349 Dec 21, 2018 #2 Yai ni la aliyetaga
Erickford4 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 1,133 Reaction score 1,099 Dec 21, 2018 #3 Jogoo tena ametaga?? Au ni hii balimi niliyokunywa? Ngoja nikaongeze ya pili nitakuja akili ikikaa sawa....
Jogoo tena ametaga?? Au ni hii balimi niliyokunywa? Ngoja nikaongeze ya pili nitakuja akili ikikaa sawa....
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Dec 21, 2018 #4 Jogoo wako katagaa Huyo jogoo ni shemale huyo
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Dec 21, 2018 #5 Ngoja niingize gali la watu getini kwanza nakuja
Atkinson JF-Expert Member Joined Jan 17, 2018 Posts 560 Reaction score 1,444 Dec 21, 2018 #6 PEVU HALISI said: Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo Click to expand... Hili yai ni la kwako
PEVU HALISI said: Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo Click to expand... Hili yai ni la kwako
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,289 Dec 21, 2018 #7 Tuma sms huyo jogoo akamatwe
Bradha JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 8,786 Reaction score 45,266 Dec 22, 2018 #8 aggyjay said: Jogoo wako katagaa Huyo jogoo ni shemale huyo Click to expand... Jogoo akizeeka anataga
aggyjay said: Jogoo wako katagaa Huyo jogoo ni shemale huyo Click to expand... Jogoo akizeeka anataga
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 13,607 Reaction score 28,741 Dec 22, 2018 #9 aggyjay said: Jogoo wako katagaa Huyo jogoo ni shemale huyo Click to expand...
W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,605 Reaction score 3,968 Dec 22, 2018 #10 PEVU HALISI said: Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo Click to expand... Yan ww chiz kweli! Utie nke ya mwenzio uizalishe halafu unadai mtoto? Balaaa kubwa hili nuksi! Ha ha ha haaaaaaaaa
PEVU HALISI said: Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo Click to expand... Yan ww chiz kweli! Utie nke ya mwenzio uizalishe halafu unadai mtoto? Balaaa kubwa hili nuksi! Ha ha ha haaaaaaaaa
Mgugu JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 2,165 Reaction score 4,404 Dec 22, 2018 #11 Bradha said: Jogoo akizeeka anataga Click to expand... Bradha hilo yai sio lako na wala sio la jirani yako bali ni la huyo jogoo wako aliyepandwa na majogoo wenzake mpaka akataga, Nahisi jogoo wako atakua na undugu na James delicious
Bradha said: Jogoo akizeeka anataga Click to expand... Bradha hilo yai sio lako na wala sio la jirani yako bali ni la huyo jogoo wako aliyepandwa na majogoo wenzake mpaka akataga, Nahisi jogoo wako atakua na undugu na James delicious
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,935 Dec 22, 2018 #12 PEVU HALISI said: Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo Click to expand... Yaani wewe umeianza weekend kwa bia kali. Jogoo gani anataga yai?
PEVU HALISI said: Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake. Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu?? #ChemshaBongo Click to expand... Yaani wewe umeianza weekend kwa bia kali. Jogoo gani anataga yai?
palangana JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 506 Reaction score 450 Jan 6, 2019 #13 Jogoo anataga! Ila lile yai halitotoleki, watu inferior huchukua lile yai na kwenda nalo kwa mganga, wanadai lina kazi kubwa na tamu mno za kichawi.
Jogoo anataga! Ila lile yai halitotoleki, watu inferior huchukua lile yai na kwenda nalo kwa mganga, wanadai lina kazi kubwa na tamu mno za kichawi.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,117 Jan 6, 2019 #14 Huyo Jogoo akizeeka lazima awe Jogoo shoga.
Advaxendayi Member Joined Nov 16, 2018 Posts 11 Reaction score 9 Jan 6, 2019 #15 Yai nikwako kabisa. lakini na huyo jogoo wako, akaweza akatagaa?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Jan 6, 2019 #16 aggyjay said: Jogoo wako katagaa Huyo jogoo ni shemale huyo Click to expand... jogoo hutaga yai dogo sana, na hii huashiria amezeeka Sent using Jamii Forums mobile app
aggyjay said: Jogoo wako katagaa Huyo jogoo ni shemale huyo Click to expand... jogoo hutaga yai dogo sana, na hii huashiria amezeeka Sent using Jamii Forums mobile app
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Jan 6, 2019 #17 wiser1 said: Yan ww chiz kweli! Utie nke ya mwenzio uizalishe halafu unadai mtoto? Balaaa kubwa hili nuksi! Ha ha ha haaaaaaaaa Click to expand... yo wise man Sent using Jamii Forums mobile app
wiser1 said: Yan ww chiz kweli! Utie nke ya mwenzio uizalishe halafu unadai mtoto? Balaaa kubwa hili nuksi! Ha ha ha haaaaaaaaa Click to expand... yo wise man Sent using Jamii Forums mobile app