mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,850 Mar 19, 2016 #1 kwa wale wataalam wa maswalwacartoon animation mnipe darasa napenda kutengenea ka vile ubongokids wanavyofanya shule tafadhari!
kwa wale wataalam wa maswalwacartoon animation mnipe darasa napenda kutengenea ka vile ubongokids wanavyofanya shule tafadhari!
Ah Os Member Joined Dec 12, 2015 Posts 15 Reaction score 8 Mar 20, 2016 #2 Cha kwanza zipo programs nying za kutengenezea, lkn inahitaji time kubwa hata umalize. Cha kufanya downloadprogram inaitwa pencil unaweza kuipata hata www.softonic.com Halafu utainstall na utatumia fresh
Cha kwanza zipo programs nying za kutengenezea, lkn inahitaji time kubwa hata umalize. Cha kufanya downloadprogram inaitwa pencil unaweza kuipata hata www.softonic.com Halafu utainstall na utatumia fresh