Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
Uzi huu mfupi tuu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku?maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
Mama mmoja juzi alitukuta mimi na rafiki yangu nje ya gate la kazini kwetu usiku majira ya saa mbili hivi, kwakuwa tunafahamiana kidogo tukaanza vistory.
Katika story za hapa na pale mama akasema vijana nawaonea huruma sana. Hamtajenga sasa hali ya maisha sasa imekuwa ngumu tofauti na miaka kumi iliyopita ambapo sisi tulijenga.
Mimi binafsi nina nyumba na gari ya kutembelea na bodaboda 2 za biashara . Ila kwa hakika nimevipata kwa ugumu sana
Maisha magumu sana.
Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
Huu ndo wakati wa kubadili mitazamo kimawazo na kukuna ubongo haswa!.. naamini jahazi haliwezi angamia Kama vichwa vyetu tutaviweka sawasawa hapo ndo utakuwa msingi..
Tatizo si ajira tu wapo vijana wenzetu wenye ajira za kueleweka lkn hawana matumizi ya fedha zao!.. hii itaendelea kuwa tatizo kama hatuto badili tabia na mitazamo.