mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] acha tujifariji tu mana hakuna namna kiongozi.Bora tujipangie tarehe wenyewe tu assume kwamba ijumaa ya tarehe 7 mambo yatakuwa fresh, mm ndo hvo nasubiri hadi tarehe 7 mwezi ujao wala sina shida na mtu
Bc Ilitakiwa Yawe Yameshatoka Maana Pia Kuna Baadhi Ya Vyuo tar 2/10 Wanaanza MasomoTareh 7 mbali sana mkuu yatakuwa teyar yametoka sabab tar 8 kuna baadhi ya vyuo wanapokea mwaka wa kwanza
Wataanzaje masomo mwaka wa kwanza hawajafika, itawalazim wapeleke tar mbele mkuu maana hakuna namna nyingine.Bc Ilitakiwa Yawe Yameshatoka Maana Pia Kuna Baadhi Ya Vyuo tar 2/10 Wanaanza Masomo
Kweli ni mbali mkuu lkn ndo hvyo naona hawa wametutenga kabisaTareh 7 mbali sana mkuu yatakuwa teyar yametoka sabab tar 8 kuna baadhi ya vyuo wanapokea mwaka wa kwanza
Mkuu naona chuo cha maji kimetoa majina ya dip holders na fm 6 kwa pamoja first batch hivyo tusubirie kidogoKuna yeyote wa diploma holder kapangiwa katika vyuo hivyo vilivyotoa majina ya wanachuo mana wako wanaosema Ata majina ya second selection yapo katika hizo selection zilizotoka sa iv, je ukweli ukoje mana wengine wanakomment tu Bila kujua ukweli, nawasilisha