yahoo

Natumia modem ya airtel huawei mobile broadband E173
Mkuu to be honest bado cjawahi kukutana na hizo modem mpya za Airtel ili kuzifanyia ufumbuzi wa kusoma network nyingine. Azima hata modem ya mshikaji utumie kwenye pc yako halafu uniambie kama mail haitafunguka.
 
i use the same model of modem na nasoma emails yahoo/gmail/hotmails , ninachokwambia jaribu kutuumia browser tofauit kufungua email na ninakwambia itakubali!
Nimefunga mozilla firefox wakuu, still haitaki kufunguka, hapa nilipo nipo na rafiki zangu watatu wote wanatumia airtel, nitajaribu kumpata mwenye modem tofauti nijaribu kama wadau wanavyoshauri. asanteni kwa msaada wenu
 
huwa ndo tabia yake kugoma ku'sign in ila itakubali yenyewe endelea kujaribu
hatimaye nimefanikiwa, nimeendelea kujaribu hatimaye imekubali ucku huu. thanks to all
 
Ili kuepuka usumbufu, badilisha setting, pia ongeza ulinzi zaidi. Mimi nilifanya hivyo, mambo yapo poa si wa computer wala simu
 

Nahisi mathematics hajakukusudia wewe maana wewe ndio mtoa mada. Atakuwa amequote post yako kimakosa. If I am right!
 
Nahisi mathematics hajakukusudia wewe maana wewe ndio mtoa mada. Atakuwa amequote post yako kimakosa. If I am right!
Hata mi nilikuja kulielewa baadaye, but all in all elimu haina mwisho, ahsante kwa wote.
 
Habari jf,
Ningependa kujua kama kuna mtu ana habari juu ya nini kinaendelea huko katika yahoo kwani ni wiki sasa haitaki kuniruhusu ku sign in, kuna mwingine ana-experience the same au ni mimi tu?

Fadhili Paulo, hii ndiyo njia ya kutatua tatizo lako.
1.Unapofungua yahoo hapo chini ya SIGN IN utakuta maandishi.
I cant access my account - FUNGUA HAPO
Halafu baada ya hapo fungua MY ACCOUNT HAVE BEEN COMPROMISED
Baada ya hapo fuata maelekezo tatizo litakuwa limeisha ila kama utaformat Computer
kuna uwezekano mkubwa kwa tatizo kujirudia we fuata tu njia hizo hizo... Feedback please
 
huu ushauri umekaa ki PROMO zaidi
Hapana ni kweli kabisa na mimi nimehakikisha.
Nilipata shida sana kuingia kwenye accont yangu ya yahoo, nilipofanikiwa nilidhani nimekuwa hacked nikabadilisha password ajabu ni kwamba kesho yake nilikuwa na shida ile ile ingawa na sasa inatokea bado nikijaribu sana nafanikiwa kuingia baadaye.
Nahisi ni shida ya provider kama anavyosema mkuu Biohazard

 

Mkuu ukitaka kuamini kuna watu wakiwa nyumbani wanapojaribu kuingia yahoo kwa modem zao zikiwa na line ya airtel inakataa, likini wakiwa ofisini sababu wanatumia Local Area Network(LAN) ngoma inakubali vizuri bila shida. Ilikuwa ni kitendawili kwao then nikawashauri ndugu zangu nunueni hata voda bundle ya MB20 now halafu msign in muone kama ngoma itakataa kusign in. Matokeo yake Email ikafunguka na alipobisha kurudisha Airtel line Email Ikakataa tena aliporudi Voda ikakubali basi ndo ukawa mwisho wa tatizo lake YAHOO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…