Yahoo problem

mang'ang'a

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
828
379
salaam wakuu, mi ninatumia modem ya Airtel nimekua niki experience connection problem hususan ku log in acc ya yahoo, nimekua niki ingia thru messenger lakini leo inagomakabis ina fika tu mahali inasomeka Waiting for us.mg5.mail.yahoo.com then hakunakinachoendelea. kuna mtu mwenye suluhisho????? natanguliza shukrani
 
mkuu yahoo anapo update server yake ina kuwangumu ku log in na hili ni tatizo la muda mfupi kama unataka ku login unaweza ukatumia link moja kati ya hizo page yake haipo clear lakini inafanya kazi inategemea una acces server gani wengine wanapata fresh.
Login or: Login or:Login
 
Thx a lot inafanyakazi
 
Ukiwa na slow connection huwezi kulog in Yahoo, Hili tatizo ni lamuda mrefu sana. I don't like Yahoo and i never like Yahoo Mail. Nashangaa wabongo wengi mnaipenda Yahoo. Better switch to Gmail au email nyingine.
 
mi mwenyewe sipendi Yahoo lakini nina internetcafe na wateja wengi wana accounts za Yahoo hapo ndo shida
 
mie tatizo hilo nalipata sana nikiwa kwenye mozilla kuliko IE - hivyo nikitaka ku access my yahoo account natumia IE rather than Mozilla. Pia reloading / refreshing pamoja na kufuta history zote huwa inanisaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom