Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 914
Nani ajuaye
1. Tafsiri halisi
2. Chimbuko
3. Maana ya awali
Ya maneno haya mawili YAHOO Na Kariakoo.. Mengi yanasemwa juu ya asili zake Basi Kama kuna mdau atujuze.. Kama hujui piga chini ..