yahoo mail log in

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Habari wanajamii. Mi natumia simu(nokia 5800) ku access internate. Tangu juzi yahoo mail hafunguki, ila vitu vingine kama jamii forums, facebook n.k napata kama kawaida. Nisaidieni mawazo jinsi ya kuweza ku log in. Pia nahitaji kujua kama ni simu yangu ndo yenye tatizo au ni yahoo ndo inazingua.
 

huwa inafanya hivyo inabidi urudie mara kwa mara itakubali au ingia kwa kutumia PC inawezakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…