alizaliwa na uoga huyo, kwa anavyo ogopa utafikiri mods ni Jerad Hando au Id yake ina real name.!? "Dhambi mbaya kuliko zote ni Uoga"
Kamuziki kenyewe mbona kabaya kiasi hicho?
utakuwa ni ujumbe wa mtu huo ngoja tusubiri atakayemjibu
meaningless song daah jide unapotea
mMhmh,unalako wewe,utakuwa team clouds
humu jf mtu akimkosoa jide tuu mnamwita ruge
FA Kazi unayo anko
Hiyo nyimbo ni bomba ile mbaya
Asante team Anaconda
wale mayahaya pphuuuuuuuuuuuuuuuuuuuffff,,,,,Jd kashawasoma sasa
kwan yahya ndo fa au ruge?ama wote
apooo me sipo,2mulize Jd
Jitahidi tu mkuu mana ye ndo mhusika na chanzo pekeejide kagma kufunguka