Yahaya unaishi wapi?

kazi kweeeeeeli kwa wenye jina hilo
 
Kwa hiyo kama una jina hili na makazi yako ni kinondoni ni kosa na huaminiki tena!
 
Angejitambulisha jina anaitwa Bill Gate anaishi mwadui angepata mkopo lakini yahaya kaharibu kusema anaishi kinondoni, maana mkopeshaji kajua huyu lazima atakua jamaa wa sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…