kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 119
- 226
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 27, Ninapenda kuwasilisha nia yangu ya kujiunga na taasisi yako kama mwalimu au fasiliteta wa masomo ya ICT. Nina Shahada ya Business Information Technology, na kwa takribani mwaka mmoja nimekuwa nikifanya kazi na kampuni inayotoa mafunzo ya TEHAMA kama mwalimu—nafasi ambayo bado naiendelea hadi sasa.
Katika kipindi hicho, nimepata uzoefu mkubwa wa kufundisha makundi mbalimbali ya wanafunzi, kuanzia watoto hadi watu wazima, jambo lililonijengea ujasiri, weledi na uelewa wa mbinu bora za ufundishaji.
Masomo ninayofundisha ni pamoja na:
Nipo tayari kwa changamoto mpya na mazingira mapya ya kazi yatakayoniwezesha kupanua wigo wa uzoefu na mchango wangu katika sekta ya ufundishaji wa TEHAMA.
Napatikana Dar es Salaam na niko tayari kwa mahojiano au mazungumzo zaidi kwa wakati wowote utakaofaa.

- Database Management Systems (DBMS)
- Website Development (Programming)
- Systems Project Management