Wapendwa,
Heshima kwenu.
Nina family friend anamuulizia mbunge wa zamani jimbo la Babati vijijini anaitwa Damas P Nakei. Mwenye kufahamu au kuwa na taarifa zake ani PM. Huyo family friend walikuwa wote shule Uingereza .
Ndugu ngafu bahati mbaya siko Dodoma niko nabeba box. Naomba km Unaweza nitumie company name au awasiliane na ndugu Alfred Smith kwa mail ni alfredsmith@live.com