Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mmmmh...
.ati ukiwa mjanja kugongewa ni siriya ndani, lol..
naona Ruttashobolwa amekuwa mjanja sana, ati hani wake anaenda kufundishwa vikoba na Excel...
ila honey wewe kwa nini
unaondokaga bila kuaga?
mi nilidhani na wewe umepigwa na wimbi
kule kunako boti ujue!!
we!we!weeee sosoliso taratibu
akate mti apande wapi,unantaka maneno!!
c ndio ujasiriamali wenyewe!!
au wataka na mkeo afundishwe?
kua muwazi tu!!
i love you beibe
beib huyo SOSliso tumsamehe tu
wivu unamsumbua mie kujindoa na wewe!!
hapana. Hakuna sheria ya ndoa chit-chat inayo ruhusu ndoa juu ya ndoa.
Alaf huyo Excel ngoja kwanza.
mie pendaga sana wewe shem lake we Ruttashobolwa hebu kuja huku uone lugha za ukweli za kutoka majuu we unakalia tu my akanana wakati wasomi wanaitana ngololongololo!!!!!!
​am here swr,wo nt!!
I love you too darling!
Afu hebu njoo kule kwa jana fasta, (kwa shostito) nina neno nawe mpenzi.
mkuu, sosoliso, usiniharibie uhusiano wangu na KOKUTONA...mimi na Passion Lady wala hatukuanza, ana vikoba huyo hadi naogopa kumchumu, lol. Yeye na Ruttashobolwa wanawezana manake nasikia nae si haba. Hata pachaake Lady doctor SI haba... Samahani nimekuwa m'mbea leo.
wifi bora usirudi
unatakiwa uwe busy na mumeo!!
why are you fearing facing me? What kind of man are you?
...and you passion lady, simpendi mwanamke asiye na msimamo! This rutta is like sobibo! Escapeeee!!!!
If you wont do it... I will do you all..!
hahahaha umenichekesha sana.