Nimepata taarifa kuwa kuwa watu wananunua kadi za wapiga kura na wanaomba picha mbili na huyo mtu anatoa shilingi 1500 za kitanzania.
Watanzania hatujafika hapo, kuuza kadi ni sawa na kuuza uhuru wako. Tubadilike watanzania. Hii ni habari ya kweli na inafanyika maeneo ya ubungo, Mabibo na maeneo ya External.
Naomba wadau wafuatilie.