Yah: Kunena kwa lugha.

Yah: Kunena kwa lugha.

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Wakuundugu zangu za jioni. Naomba kujua jinsi ya kunena kwa lugha. Hatua gani zinafuatwa?Asenteni sana.
 
Wakuundugu zangu za jioni. Naomba kujua jinsi ya kunena kwa lugha. Hatua gani zinafuatwa?Asenteni sana.
Mbona hapo kwenye red ulishaanza tayari kunena kwa lugha ya mapepo! Au unataka kunena kwa lugha gani? Kama ni lugha takatifu mpaka uzame kwenye maombi ya dhati kabisa mpaka Roho Mtakatifu akuwezeshe kunena na si kila mwombaji atanena kwa lugha ni vipawa na karama ya kipekee sana.
 
uko rohoni zaid??
kama bado zama rohoni utanena tu
 
Ili iweje? Unataka kunena kw luga gani?spain english germany portuguesh turkish or kisukuma kiiraq kichaga kibena funguka mku
 
Ili iweje? Unataka kunena kw luga gani?spain english germany portuguesh turkish or kisukuma kiiraq kichaga kibena funguka mku

saitaa sayuuu... shimboni nasicha... mwangaruka
 
Rabasaka,rabosika,kahkahkahkah! Lugha za wachungaji matapeli ndo unazo zitaka? Unataka uanzishe kanisa ili watu waamini unaroho wa MUNGU kwa sababu ni ishara ya kupokea Roho Mtakatifu?. Ongea hata kiruga chako na kumix na luga nyingine tayari utakidhi haja yako. Ila usitake kutibia sadaka kwa kutuzuga na maneno ya kukariri wanayoyasema baadhi ya makasisi kutuaminisha kwamba wana Roho wa Mungu kumbe zuga tu. Sikuhizi wananena kwa lugha hata kama wanafundisha neno!Usijiingine huko kama unataka mpunga tafuta nyia nyingine sahihi utapiga tu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
sema hivi shamba la baba, shamba la baba..... ruduia kwa haraka haraka sana utaona mambo!!!! uo ni utani nakutania ila kwa msaada zaidi apa janvini siyo mahari pa kupata ushauri kuhusu ilo, nenda kwa mchungaji wako atakusaidia au soma kitabu cha matendo ya mitume sura 1-10
 
Mbona hapo kwenye red ulishaanza tayari kunena kwa lugha ya mapepo! Au unataka kunena kwa lugha gani? Kama ni lugha takatifu mpaka uzame kwenye maombi ya dhati kabisa mpaka Roho Mtakatifu akuwezeshe kunena na si kila mwombaji atanena kwa lugha ni vipawa na karama ya kipekee sana.

Acha uwongo mtu yeyote ukitaka unanena tu. Kulabashaka labakanda, raboshika lamakandala masaka mbona nimenena hapo. Wakati mwingine mpunguze usanii.
 
Wakuundugu zangu za jioni. Naomba kujua jinsi ya kunena kwa lugha. Hatua gani zinafuatwa?Asenteni sana.

Pole sana.

Uwezo wa kunena kwa lugha hautafutwi. Ukisona kitabu cha matendo ya mitume 1:8 inasema "lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia kwenu roho mtakatifu....." Uwezo wa kunena kwa lugha unaletwa na roho mtakatifu na wala si mwanadamu. Na ni Mara baada ya kupokea nguvu akiisha kukujalia roho mtakatifu, nguvu ya roho mtakatifu ndo itakayokuwezesha kunena kwa lugha Yoyote ambayo roho mwenyewe anataka.
Soma matendo 2:2-4.
 
Back
Top Bottom