Karibu mkuu lakini epuka tabia za baadhi ya watu walio humu.Hawajui kuchangia mada bila kutusi mchangiaji.Kama ulivyo ahidi basi timiza ahadi yako.Miaka mingi ndio mwanzo !!!!!!!!!!!!!