Yah. Kanusho Taarifa kumhusu Erickb52

Yah. Kanusho Taarifa kumhusu Erickb52

simpaki matope Mtu yoyote yule nasema hivi,,,,, Erickb52 anaitaji kusaidiwa huku si kuzuri
images
We Ruhazwe JR mwenye pesa hanaga limbwata...wanakuja wao nifanyaje na kifanyio kiko fit?
 
Last edited by a moderator:
Bibie lara 1 tuko kaunta ya juu kuondoa stress za week nzima na guess what... niko na YUTONG that's Y sikukujibia hapo juu kwenye post yako. Nikufowadie nini unachokunywa? Worry not ntatumia AFRICAN SCIENCE ile new edition iitwayo BLUETOOTH UCHAWI.
 
Last edited by a moderator:
Nimedhibitisha kwa picha emu na wewe tudhibitishie maneno yako

Mr. Jr Ruhazwe
Sisi wenye mchepuo wa Judiciary hua si waumini wa Photo evidence , especially at this global world !
Photoshops , image scaning spreaded in various places .
Always image photograph are not applicable on judiciary matters, in order to prove some certain contents issues.
Perhaps the event or evidence is sought to be proved by written record .
The usual course is for a witness on the stand to be identify the photograph as a correct , representation of events which he saw or of a scene!!.
With which he is familiar .
Afu na wewe unachangia sana dogo langu kuwatafuna hawa warembo!
Utaniuliza kiaje?
Si ni kila mwezi unamtawazia (unaselekti) miss m'moko !
Unategemea nini ? Ikitokea mamiss wanamshobokea! Aache kuwalamba na makila kinga yako shega?
 
Speedy wanionea ujue!!!!!!!!!! Nimemfagia nani? Usiwe na wasiwasi mimi NIMESTAAFU nimejiunga SOVIET UNION!!!!!!!! Hapo nilikuwa natoa tu TRIBUTE ZANGU!!!!! Old habits die hard mjue!!!!!!!!

wewe hata uniwekea alkaida shingoni sikubali. Wewe mwendo wako ni slooo but sure.if zeyi kachi yuu, yuu tani kuwa Wota na yuu kimbialingi kama sineki
 
Speedy unaona huyu Lundenga anavyoleta majungu?

wewe usiwe na wasi niko hapa pande za kwake huku magomeni na kitu cha kova tu, akitoka tu niko nae. Et bosi nikuletee akiwa mzima, robo na nusu, nusu au robo mtu? Halaf Usinisahau kwenye kamgao ketu
 
Last edited by a moderator:
Dah napenda kuthibitisha taarifa hii ya Judgement na Kukanusha vikali taarifa ya Ruhazwe JR kuwa ni wivu tu kuona naenjoy life.

Kula maisha dogo langu!
Wenye matunda ndo upopolewao!
Na kelele za mivumo ya bahari hazitokuzuia kula Ngisi na Pweza bwanaa !
 
Last edited by a moderator:
wewe usiwe na wasi niko hapa pande za kwake huku magomeni na kitu cha kova tu, akitoka tu niko nae. Et bosi nikuletee akiwa mzima, robo na nusu, nusu au robo mtu? Halaf Usinisahau kwenye kamgao ketu
Heheheheheeeee mlete akiwa mzima
 
Mzima wewe!!!!!!!!!! Wazima wazee wa kijenge, sanawari, ngarenaro, njiro, United States of Arusha, Kikatiti, Maji ya Chai, Unga ltd, Tengeru, Ngurudoto, Haileselasi, Moshono!!!!!!!!!!!!!! Mimi iko jua Arusha kidogo, Joh Makin anatusaidia kujua mitaa atiii!!!!!!!!

shost umesahau mianzini, ngaramtoni na olmotonyi!
 
Umeona eeeh hebu mlete Kipipi hapa aje anipe raha za dunia

Mugole wange Kipipi janguu!
Aba'mussaja bakwiita !
Sorry nimejimix nikadhani niko Kansanga (Ug)
Kipipiii uli'halee ? Uliitamwa na ngosha wanee !
 
Last edited by a moderator:
Wallah Ruhazwe JR usije ukatia timu Arachuga wewe! Unajaribu kumdhalalisha milionea wetu? UMEKOSA MAADILI NA ngoja niishie hapa lakini hiyo mvua inayonyesha hapo ulipo isikuache salama gaddemit kudadadeki.

waswahili walisema MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO, kweli nimeamini limbwata alopigwa Erickb52 limetafuna ukoo mzima, hapa tunahitaji divine intervention,otherwise kazi ipo
 
Last edited by a moderator:
hihihihiiii Erickb52 unalo mwaka huu.

Afu wewee BT nakutafutaje?
Yaani bora uendelee kunikwepakwepa ukibugi tu, kuchum kunako kumi na mnana zangu!
Nakuchana laivu! Au nitakerazi nikusamehe, shaurirroww!
 
Last edited by a moderator:
Heheheheheeeee mlete akiwa mzima

Noo! Kubwa la maadui nataka kichwa chake kikiwa kwenye sinia na machalii wangu wa Liborru, Ngarenarrro na Unga Limited nawapa ujira wao kama kawa sado ya pyua, buku 2 za fegi+bange.
 
Si unaona CL dogo wangu anavyowangiwa?
Sijui nimshauri na yeye akazisunde Uswizi !
Maanake kuziwekeza kwake hapa injini (nchini) imekua zahma!
Unadhani mamtu ka'kina Bishanga ambao wako juu ya mawe !
Watakua na lipi la ziada kwa dogo kama si jungu ?
Afu yawezekana Ruhazwe katumwa na Bishanga kuanzisha ile Sredi.
Kama ni ndege erick ni cessna bishanga ni boeing 747, nani agombee dem na sakapoko ka erickb52 amae kula yake mpaka abebe zege saiti,kha!
Halafu we judgement nshakushtukia nasikia bungeni we ndo sergent of arms kila kitu mpaka thpika aamue upewe.
 
Kama ni ndege erick ni cessna bishanga ni boeing 747, nani agombee dem na sakapoko ka erickb52 amae kula yake mpaka abebe zege saiti,kha!
Halafu we judgement nshakushtukia nasikia bungeni we ndo sergent of arms kila kitu mpaka thpika aamue upewe.

Nilijua zile magazzab ya 52 kukucheleweshea loan , yatakutoka ya kukutoka!
Nway mi najua reason ya kukucheleweshea last wik alifanya sosayate charite weksi !
Alijitolea air tickets wagonjwa 10 pale Moi , kwenda kwao Amitabh bachchan.
Vumilia kidogo soon chq itakua tayari .
 
Back
Top Bottom