Yah: Jina tunaloitana huku Jf

Yah: Jina tunaloitana huku Jf

Abbitto

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
547
Reaction score
756
Salam,nimejiunga jf miez kadhaa iliyopita,humu kuna watu wazima wenye heshima zao,wasomi na kila aina za level za watu iwe ni umri,elim na hali ya kiuchumi.

Mlipokaa na kuamua kuitana jina ( mkuu) sikuwepo nimelikuta.

Nimekaa nikatafakari kwa akili zangu hiz nilizopewa nikaona kuitana "mkuu" tunajikweza sana kwani mkuu ni mmoja aliye juu,hivyobasi.

Mnaonaje tubadilishe jina la kuitana ili tuuache ukuu kwa aliyeuumba ulimwengu?
 
Mkuu unajua kwamba wengi huku ni Wakuu wa vitengo Kwahiyo hatuwezi kuacha kutumia na ni moja ya mambo yanayo vutia na kufurahisha humu jukwaani.
 
Kweli mkuu, maana mimi niko kitengo maalumu mwaka wa nne sasa!
 
Salam,nimejiunga jf miez kadhaa iliyopita,humu kuna watu wazima wenye heshima zao,wasomi na kila aina za level za watu iwe ni umri,elim na hali ya kiuchumi.

Mlipokaa na kuamua kuitana jina ( mkuu) sikuwepo nimelikuta.

Nimekaa nikatafakari kwa akili zangu hiz nilizopewa nikaona kuitana "mkuu" tunajikweza sana kwani mkuu ni mmoja aliye juu,hivyobasi.

Mnaonaje tubadilishe jina la kuitana ili tuuache ukuu kwa aliyeuumba ulimwengu?
Kwani mkuu unataka tuitane vipi?
 
Mkuu Sidhani Kama Hoja Yako Itapitishwa
 
Salam,nimejiunga jf miez kadhaa iliyopita,humu kuna watu wazima wenye heshima zao,wasomi na kila aina za level za watu iwe ni umri,elim na hali ya kiuchumi.

Mlipokaa na kuamua kuitana jina ( mkuu) sikuwepo nimelikuta.

Nimekaa nikatafakari kwa akili zangu hiz nilizopewa nikaona kuitana "mkuu" tunajikweza sana kwani mkuu ni mmoja aliye juu,hivyobasi.

Mnaonaje tubadilishe jina la kuitana ili tuuache ukuu kwa aliyeuumba ulimwengu?
Hapa ndani kuna majukwaa mengi mkuu, na hilo linalo kukwaza kuwa utukufu wa Mungu juu kwa mbingu, linahusika kwenye jukwaa la dini.
Na.....
Okay, ebu kabla basi hatuja kubali kubadilisha huku kuitana mkuu.... Ingekua vyema kama pengine ungependekeza jina m-badala la mkuu.

Asante kwa maoni yako mkuu
 
Wapi walipoandika mkuu ni mungu au aliye juu,acha kupuyanga mgeni..tulia na ufuate utaratibu ulioukuta,ukiushindwa anzisha JF yako mkuu!
 
Sometime unamuita MTU mkuu ndu gu yangu pale anapokutibua kama ulivyofanya ww sawa mkuu
 
Salam,nimejiunga jf miez kadhaa iliyopita,humu kuna watu wazima wenye heshima zao,wasomi na kila aina za level za watu iwe ni umri,elim na hali ya kiuchumi.

Mlipokaa na kuamua kuitana jina ( mkuu) sikuwepo nimelikuta.

Nimekaa nikatafakari kwa akili zangu hiz nilizopewa nikaona kuitana "mkuu" tunajikweza sana kwani mkuu ni mmoja aliye juu,hivyobasi.

Mnaonaje tubadilishe jina la kuitana ili tuuache ukuu kwa aliyeuumba ulimwengu?
Mwalimu mkuu ndiye aliyeumba ulimwengu, mbona kuna wenye vyeo hivyo huku duniani.
 
Pendekeza jina lingine basi...
Ndio shida ya wabongo. They brind problems without solutions.

Kuna kisa kimoja CEO alimtimua manager 1 kwenye kikao. Jamaa alikuja na problems/changamoto kibao. Mkuu akazikubali, haya pendekeza solutions. Jamaa hana hata 1. Akamfukuza, akamwambia don't bring me problems....go find solutions once you are done comeback na majibu hapa.
 
Back
Top Bottom