Shalom. Juzi umeme umezimika mara mbili tatu Desk Top ikiwa kwenye umeme. Kuanzia hapo mashine imekataa kuwaka. Nikibonyeza kwenye power button inawaka rangi ya orange badala ya kijani iliyokuwa ikiwaka na hakuna kinachoendelea.Naombeni Ushauri. Kuna mtu ameniambia huenda motherboad imeungua?
...Bado sijafanikiwa! Nimejaribu kukorochoa lakini Comp bado ina madhila yale yale. Msaada tafadhali! Natanguliza shukurani...