Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,541
Ivi yafaa kuweka cctv camera zilizo camouflaged chooni katika public toilet ili kubaini watumiaji wa huduma hii vibaya na kuhifadhi taarifa zao bila kuvujisha. Ili kuwawekea ushahidi mtu anayepinga kutumia choo vibaya.