Yaani Wabunge wote mmeshindwa kutafsiri maana ya Lease agreement ya KADCO kuisha November 2023 ilhali Mkataba wa Uendeshaji umeisha June 2023?

Baada ya kuona Waziri anatetemeka na kujiumauma nilibaini hapa kuna aina ya uchafu, na pia Spika pamoja na wabunge wamebaini kuna tatizo.

Nimemsikiliza Mwanasheria mkuu wa serikali, nimeendelea kushangaa ni kwanini Rais anaendelea kumuamini katika nafasi hiyo. Kuhusu Prof. Mbarawa nafikiri kuna watu wengi wanafaa kuwa mawaziri zaidi yake.
Feleshi sijawahi mkubali inaonekana anabebwa na Mama tu pale lakini SHERIA ni mweupe.
Natamani Ingekuwa ni Bunge la kina Tundu Lisu wammpige Maswali ya nguvuuu
 
Feleshi sijawahi mkubali inaonekana anabebwa na Mama tu pale lakini SHERIA ni mweupe.
Natamani Ingekuwa ni Bunge la kina Tundu Lisu wammpige Maswali ya nguvuuu
Kama hili la CCM pekee linamtesa angeweza kubishana na Lissu? Masaju aliteseka sana.
 
Back
Top Bottom