Yaani Simba mkijitahidi sana Draw. El Merrekh tunashukuru kwa Ushirikiano wenu. Game tushacheza mpaka sasa

Chukua kopo wahi maliwatoni, ndiyo tumeshawapasua sasa.
 
Kumbe hata kitu chizi huwa linaweza kuona aibu, chizi hawezi kutokea hapa, maana si kwa kwa aibu hii.
 
Ule mwiko huko nyuma msipouchomoa mtapata tabu sana
 
Ulitumia kikevi gani au ndiyo huo uchizi wa kuzaliwa nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…