Yaani Simba Hamnaga Scouts makini Hadi muwategemee Yanga?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,475
2,000
Timu yenye scout nzuri inamsajiri Sarpong,fiston, yikpe n.k
Hawa wote wazuri sema uchawi wa upande wa pili kuwafunga kichawi straikers ndio matokeo yake haya
Ukumbuke Sarpong ameongoza kiufungaji ligi ya Rwanda kabla hajatua yanga
 
IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
771
1,000
Hi sasa ni aibu,

Tokea kwa Kagere, Miquessone, Bwalya, Morrison hawa wote walianza maongezi na yanga kabla mkaingiliana bado hi juzi tu mlimtaka hata manyama mliposikia yanga wanaitaka sign yake bahati mbaya au nzuri yanga akajitoa mkabaki na Azam mkabwagwa chini,
Yanga ikaanza mfuatilia Shabaan Djuma tayari mpo nyuma ati na nyie mkapeleka offer yenu!

Mnachotaka kutuaminisha ni kuwa yanga wapo vizuri katika scouting zaidi yenu?

Ni kwamba mafanikio yenu yana mchango mkubwa wa yanga hasa katika kupata vipaji?Wapi mnafeli?

Mlifanya usajiri wa pupa kuhofia yanga mkamchukua Chikwende matokeo ndio yale ,poleni sana.

Jitafakarini na acheni kunyatia nyatia
Mbona usemi tadeo lwanga nae alikua kwenye mkumbo wa pupa na matokeo ndio Yale dili la kalinyo aliingilia nani wapi Patrick sibomana winga machachari aliingilia nani yikpe mlimpa jina mdogo ake drogba aliwabuguzi nani fiston scout Kali kabisa kawabuguzi nani ngoja niishie hapa
 
IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
771
1,000
Scouting pekee Simba waliyoifanya bila kuigiliza ilikuwa kumsajili mchezaji anayeitwa Danny Serenkuma, mwisho wa siku wakambandika jina la Mrisho Mpoto.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kama una kumbuka mugalu ilibaki kidogo tu atue yanga simba hao pia dingi onyango injinia alishamaliza simba wakaharibu dili usisahu lile la tadeo lwanga simba wakaharbu tena yani simba sjui vipi alafu kuna yule mghana Nikolas gyan hawa wote wangatua yanga mabingwa wa history
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Hi sasa ni aibu,

Tokea kwa Kagere, Miquessone, Bwalya, Morrison hawa wote walianza maongezi na yanga kabla mkaingiliana bado hi juzi tu mlimtaka hata manyama mliposikia yanga wanaitaka sign yake bahati mbaya au nzuri yanga akajitoa mkabaki na Azam mkabwagwa chini,
Yanga ikaanza mfuatilia Shabaan Djuma tayari mpo nyuma ati na nyie mkapeleka offer yenu!

Mnachotaka kutuaminisha ni kuwa yanga wapo vizuri katika scouting zaidi yenu?

Ni kwamba mafanikio yenu yana mchango mkubwa wa yanga hasa katika kupata vipaji?Wapi mnafeli?

Mlifanya usajiri wa pupa kuhofia yanga mkamchukua Chikwende matokeo ndio yale ,poleni sana.

Jitafakarini na acheni kunyatia nyatia
Ukiacha kutumia kishundu kufikiri itakusaidia sana maishani na utakuja kunishukuru
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom