Yaani nilikupenda mpaka....................

Yaani nilikupenda mpaka....................

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
Yaani nilikupenda mpaka nikajihamisha international school kukufuata shule ya kata bila wazazi kujua.......
Yaani nilikupenda hadi nikatengeneza wheel cover yenye sura yako nikaweka kwny gari la ofisini........
Yaani nilikupenda mpaka nikakwangua rangi gari ya dingi kwa msumari nikaandika ILOVE U IVETA..........
Yaani nilikupenda mpaka wakaenda kuniombea kwa mzee wa upako.........
Yaani nilikupenda mpaka nikiona mtu anajina kama lako natongoza.....
Yaani nilikupenda mpaka......................................

ENDELEENI SASA NANYIE
 
utu uzima tena,kuna mambo tunashindwa kuchangia,lakini ni nzuri sana kwa umri wako.
 
utu uzima tena,kuna mambo tunashindwa kuchangia,lakini ni nzuri sana kwa umri wako.

huna lolote kwan we ulizaliwa mkubwa na hukupitia hizo? hahahaaaa...au ulipmpenda mpaka ukajiua
 
Yaani nilikupenda mpaka ulipokuja home nilimwambia mamaangu alale sebuleni na wewe ulale chumbani kwake.
 
Mpaka nikaamua kusoma post hii nikijua inachekesha lakin...

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yaani
nilikupenda mpaka
nikajihamisha international school kukufuata shule ya kata bila wazazi
kujua.......
Yaani nilikupenda hadi nikatengeneza wheel cover yenye sura yako
nikaweka kwny gari la ofisini........
Yaani nilikupenda mpaka nikakwangua rangi gari ya dingi kwa msumari
nikaandika ILOVE U IVETA..........
Yaani nilikupenda mpaka wakaenda kuniombea kwa mzee wa upako.........
Yaani nilikupenda mpaka nikiona mtu anajina kama lako natongoza.....
Yaani nilikupenda mpaka......................................

ENDELEENI SASA NANYIE

nilikupenda mpaka nikaandika jina lako kwenye mitihan yangu yote ya form
4 ndo maana nimepata zero lisilo na masikio . , . . haya zamu ya
mwingine . . . . .
 
haichekeshi wala nini! Hamna adabu nyie vijana, unamlaza mamako sebuleni kwa ajili ya shankupe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom