A Anonymous Guest Tuesday at 2:10 PM #1 Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi.
Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,017 Reaction score 16,307 Wednesday at 10:51 PM #2 Double tax eti
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,112 Reaction score 138,055 Wednesday at 10:58 PM #3 Anonymous said: View attachment 3689848 Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi. Click to expand... Tzs 400 ni ya Yas. Hao Yas watakatwa kodi kwenye mapato yao (400). Ungechukua 25,000/- cash ukaenda kulipia bank usingekatwa hio 400/-
Anonymous said: View attachment 3689848 Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi. Click to expand... Tzs 400 ni ya Yas. Hao Yas watakatwa kodi kwenye mapato yao (400). Ungechukua 25,000/- cash ukaenda kulipia bank usingekatwa hio 400/-
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,381 Reaction score 74,292 Wednesday at 11:00 PM #4 Anonymous said: View attachment 3689848 Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi. Click to expand... Bora hata wangesema ni kulipia huduma ya mtandao iliyokuwezesha kulipa kwa urahisi bila kuhitjika kusafiri lakini kuita ni VAT πππ
Anonymous said: View attachment 3689848 Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi. Click to expand... Bora hata wangesema ni kulipia huduma ya mtandao iliyokuwezesha kulipa kwa urahisi bila kuhitjika kusafiri lakini kuita ni VAT πππ