Yaani huko Ruge Tumeshammaliza Kabisa (Power of Karma)

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
11,254
21,275
KARMA hua haiongopi, ni Natural Justice, Jana kwa mara nyingine Tena Bashite Kaumbuka.

Wengi humu hawakusikia wakati hayo maneno kuhusu Ruge kumalizwa, ila yeye Ruge na team yake waliyasikia nadhani ni kutokana na kua ni field yake so kila sauti inayosikika kwake anaisikiliza ndio maana aligundua.

Aliposema ikaonekana ni uzushi tu, hata humu kuna watu walitaka waisikie hiyo sauti ila Mungu sio Lizaboni , sauti imesikika, ni kweli kumbe Bashite alilenga kumchafua Ruge na wote aliwaowataja jana including "aliyeamshwa dude".

HIYO NDO KARMA BWANA, neng'eneka uneng'enekavyo haikuachi Salama, ni kama tu Bashite mwenyewe anavyojisemeaga "vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama".
 
bashite amelaaniwa kwa laana kubwa sana, kila analogusa ni gundu, linabackfire. everything he touches inabackfire. alianza kwa gwajima kuhusu mtoto, ikabackfire, unakumbuka uvamizi clouds, backfire, kila michongo anayoifanya ina backfire. nafikiri angekua na akili angepatana na wadeni wake mapema kwasababu Mungu mwenyewe ameshamtapika na kumtupa kapuni kwasababu Mungu ndiye alimwinua lakini yeye amekuja kuipokea miungu...na ndio anaiabudu.
 
Back
Top Bottom