Huyo ni mchepuko tu haya ingekuwa ndio ndoa! Mbona yeye akitoroka kwao akija kwako haanzi kuchunguza kama kuna chupi au kanga au viatu vya kike na vipodozi vimeachwa na mtu? Jifunze kujiaminj. Kuibiwa kupo tu. Kwahio unaamini kwakua hujakuta kitu kwenye simu basi ni Mwaminifu au hana mchumba! Conclusion ya kibwege kweli
Naona raha zako unatamani ukute sms ili umtie joto akupe visa vyake akiwa na mwanamme mwengine.
Mwambie tu awe anakuhadithia anavyoiwachia nje, atakuelewa.
Wewe ulimpataje wenzako washindwe?
Wacheni uzinzi ni njia chafu. Oaneni.