Yaan SITOISAHAU ASUBUHI hii

Yaan SITOISAHAU ASUBUHI hii

Cooked story, Otherwise is not easy at all to open the hood and set it like you didn't saw him/her before...:thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:
 
Kwanza nyoka hawezi kuingia kwenye gari eneo hili maana lina harufu ya petrol na oil vitu ambavyo nyoka hataki kuvisikia, labda iwe ni sayansi ya Kitanzania, yaani nguvu za giza. Aidha, ikitokea ameingia nikimwona tu, nafunga haraka. Nawasha gari kuelekea kazini joti lake atatoka tu bila kupenda.

Hapo kwenye nyekundu haitatokea kwa hiari yako, utajikuta tu umeshalifunga bonet. Kuwasha gari na kuliendesha baada ya kuuona huo mzigo nako kunahitaji ujasiri, unaweza shangaa anatokea kwenye dash board!
 
Asubuhi umeamka unataka kwenda kazini , ukasema ngoja uongeze maji kwenye rejeta kwenye gari yako, ile kufungua tu boneti unamkuta katulia kama hivi ungefanyaje ????

Atakuwa nyoka fake huyo. Inawezekanaje umefungua mpaka ukaweka stand ya bonet, ukaenda kuchukua camera, ukampiga picha, yeye katulia tu?

cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nyoka hawezi kuingia kwenye gari eneo hili maana lina harufu ya petrol na oil vitu ambavyo nyoka hataki kuvisikia, labda iwe ni sayansi ya Kitanzania, yaani nguvu za giza. Aidha, ikitokea ameingia nikimwona tu, nafunga haraka. Nawasha gari kuelekea kazini joti lake atatoka tu bila kupenda.

atapenya kutoka mbele kwenye dashboard kufuata ubaridi wa AC...., kifuatacho....🙂
 
Atakuwa nyoka fake huyo. Inawezekanaje umefungua mpaka ukaweka stand ya bonet, ukaenda kuchukua camera, ukampiga picha, yeye katulia tu?

cc MziziMkavu
Kiafrika Afrika itakuwa inahusishwa na Sayansi ya Giza ( Uchawi) Kiılaya ulaya inawezekana hiyo ......

attachment.php
 
kwa uelewa wangu ni kwamba nyoka na mafuta yoyote yanayohusiana na petrooli ni mbalimbali

au wa sasa ni tofauti?
 
Hii picha nimeshakutana nayo mitandaoni more than a decade. Ila inatisha sana.
 
Kazini no na kurudi ndani ya nyumba hakuna,nitakapo pata fahamu nipo ICU
 
Aliingia akiwa mdogo mpaka akakulia humo humo.
chakula alikuwa anakula nini?

na je joto joto la injini, feni, mkanda wa feni, rejeta.

Unataka kuniambia vikwazo vyote hivyo alipona. Haya mkuu
 
chakula alikuwa anakula nini?

na je joto joto la injini, feni, mkanda wa feni, rejeta.

Unataka kuniambia vikwazo vyote hivyo alipona. Haya mkuu
Mwenye gari alikuwa Urusi anasomea udaktari miaka saba, kwa hiyo lilikuwa parked akaingia.
 
Back
Top Bottom