PHOTO
Member
- Mar 14, 2014
- 60
- 11
nawasha gari naondoka, joto la injini litamuhusu.
Huyo nyoka anatafutwa sana huko Mbeya. jiji la Mbeya limekodi waganga na wacawi ili kumsaka nyoka huyo
Asubuhi umeamka unataka kwenda kazini , ukasema ngoja uongeze maji kwenye rejeta kwenye gari yako, ile kufungua tu boneti unamkuta katulia kama hivi ungefanyaje ????
Nyoka ukawa huyo
Aliingia akiwa mdogo mpaka akakulia humo humo.Kama boneti lilifungwa usiku je aliwezaje ingia hapo?
Hii ndio inaitwa mdudu ndani ya kokwa la embe kaingiaje