Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 101
daaa jana bhana nilikuwa natizama kipindi cha TAGZ WEEKLY cha dtv sasa kulikuwa kuna tuhuma za yule mshikaji aliyekopi aidia ya ile ngoma ya platinum ya mbagala eti yakwamba jamaa anamfanyia k2 mbaya coz kuna siku alishawai kumwambia hatakuja kumsahau katika maisha yake yote en ryt now jamaa anaumwa sana na kwa taarifa ni kuwa eti ameenda kwa mganga na mganga kamchana laivu eti platinum ndiye anayehusika en jamaa akaapa laivu akifanyiwa intaviuu na kituo hicho kuwa ikitokea amefariki bhasi platinum atakuwa anahusika......duuuuuuuuuh