ya zanzibar ni haki kuamuliwa na wabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ya zanzibar ni haki kuamuliwa na wabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwine, Jun 27, 2010.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Je ni vema watu wa bara kuhusika moja kwa moja kuchagua mgombea wa urais wa zanzibar kama CCM wanavyofanya? au wawaachie wenyewe mahamuzi yote?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu Godwine, jambo hilo limekaa kiutaratibu wa chama zaidi na kamati zake.
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  lakini mkuu sasa huoni ni wakati wa kukuza demokrasia ndani na nje ya vyama kwa mfano rais aliyepita alikuwa anakubalika kwa asilimia 30 tuu ya wajumbe wa zanzibar lakini huku bara ndio tukalazimisha wazanzibar awe mgombea wao hatuoni tunawanyang'anya uhuru wao, au tunafanya znz kama kamkoa ka kisiasa?
   
 4. R

  Ramos JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama sehemu ya muungano zanzibar inapaswa kuwashirikisha Watanzania (wote) kwenye suala la kumpata kiongozi wake, otherwise wanaweza kujisahau wakamchagua mtu mwnye negative effect kwa muungano...
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Yup..Zenji inATUMIKA tu na bara kwa maslahi ya kisiasa(remotely controlled)!...Ndio maana hata Muungano unang'ang'aniwa zaidi na watu wa Bara wakati wazenji hawana mpango nao!...Ni ushenzi wa toka zamani ambapo hata mikataba ya Muungano haijulikani iko wapi, na hata ridhaa yenyewe ya Muungano haikutafutwa!
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Lakini Wazenj wenyewe si wanapenda kutawaliwa!, baada ya kujikombowa kutoka mkoloni wa kiarabu, sasa wacha watawaliwe na MKOLONI TANGANYIKA. Muungano utakuwa huu! Endeleleni kuwatia utumwani, wenyewe si wanashindwa kujitawala na Ujinga wao huo. physsx ghrrrrh!..
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Sisi watu wa bara kwa kweli hatuwatendei haki wenzetu wa visiwana hasa pale inapotokea wao wanampenda mtu wao halafu sie kwa sababu tunazozijua sisi tunamkataa na kuwachagulia mtu tunaedhani anawafaa!!Hii imetokea mara kadhaa; na hakuna sababu za msingi zinazothibitisha kuwa maamuzi hayo huwa ya busara.Kitu kinachonishangaza mimi ni kwanini wazanzibari wamekuwa wanakubali hali hii ya kuchaguliwa viongozi na wabara iendelee? Wazanzibari ni watu jasiri sana kuliko wabara na hili limedhihilika kwa wao kujitoa mhanga kwa kuwaondoa viongozi wakatili kwa kumwaga damu yao; mara hii itabidi wawaoneshe watu wa bara kuwa sasa imetosha na wao ndio watakaoamua nani awe kiongozi wao. Kama wabara hawatakubali wawe radhi kurudi visiwani na Aro Shirazi yao!!
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Jun 27, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180

  Unajua vitu vingine unaongea halafu unakuja kufikiria baadaye badala ya kufikiria kwanza ndio uongee! Ok, tuambie kama wakirudisha Afro-Shiraz ndio itajenga barabara, italeta maji safi ya kunywa, itajenga shule, nk? Au kwa kuwa unadhani kwamba jina linatamkika vizuri vinywani mwa watu ndio maendeleo?
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Zanzibar si nchi. nchi ni Tanzania, kama kwa hiyari yao waliamua kuungana na Tanganyika ni dhahiri walikuwa tayari kwa maamuzi ya kichama kufanyika na chama. Kwani walipo shindwa chaguzi zote visiwani (tokea 1995 mpaka 2005) walikuwa wanatangazwa washindi kwa maelezo ya watu toka Bara kwani ndiyo walioshika vyombo vya dola. Nina uhakika kama bara wataachia wanzanzibar wenyewe watauana kama senene. Ila bado wana-nafasi ya kujikwamua kama wote wataamua kutomchagua mgombea wa CCM atakayewekwa na bara na kumchagua Maalim Seif kwa 100% na kudemand atangazwe, baada ya hapo CCM bara watajifunza kuwa wanzibar wakichaguliwa mtu na wabara hawampigii kura.
   
 10. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Point. wazanzibar ni watu wa ajabu. wanalalamika kama vile hawana njia mbadala.
   
 11. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Rais wa zanzibar angeteuliwa na rais wa Jamhuri ya Muungano kama wateuliwavyo wakuu wa mikoa...siona sababu ya kupoteza hela kumchagua mkuu wa mkoa mmoja wakati mikoa mingine wanateuliwa tu! hii Zanzibar kuwa nchi ni danganya toto...sijui hawa wazenj hawaoni au? si unaona Karume anaumendea u VP wa muunagano...yaani alikuwa mkuu wa mkoa tu sasa natanga ngazi ya kitaifa.
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  wazenji n i kama watoto wetu kwa hiyo c busara luwaachia kujiamulia mambo yao wenyewe ni lazima na muhimu sana kwa cc wabara kuingilia mambo ya kule la sivyo0 kitakuwa kisiwa cha kuzaliasha magaidi.....
   
 13. G

  Godwine JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  lakini lengo la muungano si kuitawala zanzibar bali kushirikiana katika mambo muhimu kwa hiyo kitendo cha kuwatawala kwa mambo yao ya ndani ni aina ya ukandamizaji
   
 14. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  .................. ni kama koti,, likikubana unalivua tu. muda muafaka utafika
   
 15. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama wewe unaongea halafu unakuja kufikiria baadae hiyo ni tabia yako mimi nafikiri kwanza kabla ya kuongea; nadhani umenipata! Hebu tuambie kitu gani ambacho wazenj watashindwa kukitimiza bila kusaidiwa na wabara? The cold war is over and Zanzibar could easily be another Singapore given the chance to decide for itself without the intervention of Kikwete and his gang.Zanzibar has immense potential waiting for some wise leadership to tap it!
   
 16. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Wagombea urais wa Bara na Visiwani wanachaguliwa na vikao vya chama vya kitaifa. kama Kamati kuu na mkutano mkuu wa chama

  Si sahihi kusema wanachaguliwa na wabara.

  vikao hivi vingeweza kufanyika Zanzibar au popote, na katika vikao hivi kuna uwakilishi kutoka pande zote kwa ratios walizokubaliana nazo.
   
Loading...