mkuu zaha alipoteza suti alizopewa na club, alipofika uwanja wa ndege ikabidi atafutiwe nyingine, ila boban ni mtoto wa uswahili huwa ajali mazingira anafanya anachojisikia, nakumbuka wakati wanakabidíwa medali kwenye michuano ya kagame alivua sare za simba na kuvaa mavazi yake ya kitaa