Ya unafiki wa marekani, na serikali ya saudi arabia

Ya unafiki wa marekani, na serikali ya saudi arabia

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
By Mndengereko
Heshima kwenu wana jamvi
Wote tunajua kwamba marekani inashinikiza demokrasia ya kweli,utawala bora na kuheshimu uhuru wan chi husika duniani kote, na wanajitahidi kuioniyesha dunia nzima kwamba wapo hivyo lakini swala hilo linakuwa tofauti pale marekani anapo support serikali ya Saudi Arabia kwa nguvu zake zote bila hata ya kutoa onyo wakitekeleza kinyume nay eye mmrekani anachokiamini na kukitetea kuanzia utwalawa bora,uhuru wan chi,na demokrasia ya kweli ,Saudi Arabia ni nchi ambayo haina demokrasia wala haina mpango wa kuwa na demokrasi kwa sababu watawala wake wanaamini wanatawala kwa sababu mungu kawachagua kwwa hiyo miaka nenda rudi Saudi Arabia inaongozwa na mfalme abdallah na ukoo wao wakirithishana madaraka lakini maraekani tunaona alikuwa mkali kwa gadafi wa Libya na mwenzake Mubarak wa Misri pindi walipokuwa hawana demokrasi na marekanai kuwashinikiza waadopt demokrasia ikiwemo uchaguzi na uhuru.
king-abdullah-may-have-just-dodged-overthrow-from-family-coup.jpg

Jeshi la la Saudi Arabia lina zana za kivita za kisasa na zenye ubora kuliko hata uwezo wao wa kuzitumia ambazo wanazinunua kutoka kwa mshirika wake marekani,mwaka 2011 saudi Arabia alienda kuisuport serikali ya kifalme ya Bahrain inayoongozwa na al khalifa walikuwa kwenye matatizo ya ubaguzi kwa hiyo watu wake wakawa wanaandamamna kwa kutaka haki sawa kwa wote na utawala bora, chanzo cha matatizo ni kwamba serikali ya kisuni ya al khalifa inaiongoza Bahrain ilikuwa inawatenga watu wa Shiite na kuwasuport zaidi watu wa kisuni ambao ndio mfalme wao anatokea so washiite na wenyewe wakawa wanataka haki zaidi katika ardhi yao ya nyumbani mgogoro ulikuwa mkubwa sana mpk police wa Bahrain ambao wengi wao wanatokea Pakistan wakashindwa kuumudu na al khalifa akaomba support ya Saudi Arabia kwaa sababu ana vifaa vya kisasa na saudia haikusita kuisuport serikali mwenzake ya monarch ya behrain na hapo Saudi rabia alikiuka mkataba waliowekeana na mmarekani wa kuuizina silaha(us arms export control act) lakini mmarekani alikaaa kimya hakuongea hata neno moja wala kuishtumu vibaya Saudi Arabia katika matumizi yake mbaya ya silaha lakini pa kuna ushahidi wa kutosha kwamba saudia ana support vikundi vya kisunii vilivyopo kote itaq na Syria lakini marekani yupo kimya na vikundi hivi vinaua watu kila siku kwa kujitoa mhnaga na mabaomu ya kutega.kupandikiza

images
images
images
images

Serikali ya Russia imekemea vitendo vinavyofanywa na sauidia ya kuissporrt vikundi vya kisuni Syria kwamba inazorotesha maendeleao ya kutafuta amani nchin humo,lakini kubwa zaidia ni kuwa serikali ya Iraq imeiishutumu moja kwa amoja serikali ya saudia kwmba inahusuiika na machafuko Baghdad yasioyooisha kwa kussuport makundi ya wasuni na hata kuwapa silaha

Kwa sasa saudia Arabia imehamishia nguvu zake kwa jirani yake Qatar mwazooni mwa mwezi march waziri wa mambo ya nje wa saudia alisema kwamba qatqr aache kusport kikundi cha muslim brotherhood kilichopinduliwa Egypt ambacho serikali ya sauddia inakizingatia kama ni kikundi cha kigaidi la sivyo atafunga mpk wake wardhi na wa majini, na ikumbukwe qatar mpk wake wa ardhi upo saudia tu kwa hiyo ndo wanaoutegemea kwa kupitisha frsh food,lakini pia saudia anaitaka serikali ya Qatar ikifunge kituo cha al jazeeraa chenye malazi yake doha na kuvifukuza vituoo/taasisi za kiutafiti za kimarekani nchini humo kwa kusema hivyo maana yake hapo saudia anaingilia uhuru wan chi ya Qatar moja kwa maoja lakini marekani still yupo kimya

Kwa kumalizia niseme kwamamba marekani yupo tayari kumuwekea vikwazo iran kwa mpango wake wa kinyuklia na korea pamoja na Russia kwa kulinda maslahi yake crimea lakini hayupo tayari hata tu kumkemea saudia Arabia achilia mbali kumwekea vikwazo so huu ndo tunaoiita unafiki na kwamba kila mtu/nchi ipo kwa ajili ya kutetea maaslahi yake binafsi na wala sio kwamba wana mapenz sana juu ya nchi Fulani inayooenewa ,
naomba kuwsilisha
 
Last edited by a moderator:
Saud Arabia ni puppet wa Marekani.
Invisible hachelewi kuweka ban Uzi huu. Nilishawahi kuanzisha Uzi unaofanana na huu,jamaa wakaufuta.
 
Saud Arabia ni puppet wa Marekani.
Invisible hachelewi kuweka ban Uzi huu. Nilishawahi kuanzisha Uzi unaofanana na huu,jamaa wakaufuta.
i dont think so mkuu kama anaweza kufuta co nilichoandika hapo juu ni kweli tupu hata ushaidi upo na naweza kuleta,in short marekani hawezi kuvumilia pindi anapooona maslahi yake yanaguswa moja kwa moja kama zilivyo nchi nyingine sema tofauti yake yeye anajua kucheza na media na kukimbilia ama un au nato kutafuta support na mwwisho wa siku kuonekaa kile anchokifanya ni sahihi
 
Lakini baadaye lazima watachenjiana tu. Marekani hana rafiki wa milele labda ndugu zake wayahudi na waingereza
saudia atakuja kuchenjiwa na marekani labda pale utawala wa king abdallah utakapotolewa marekanai na kuja regime ambayo haimsuport mmarekani otherwise bado wapo wapo pampja sana co marekani anafaidika sana na mafuta ya saudia
 
subiri mafuta yaishe au kigundulike chanzo kingine reliable cha nishati zaidi ya mafuta tuone kama huo urafiki utaendelea
 
subiri mafuta yaishe au kigundulike chanzo kingine reliable cha nishati zaidi ya mafuta tuone kama huo urafiki utaendelea
hahah kwanza tangu lini mmarekani akawa na urafiki na mwarabu tena hasa muislamu? wazungu wenzao russia wanawageuka na kuwasiliti itakua waarabu
 
hahah kwanza tangu lini mmarekani akawa na urafiki na mwarabu tena hasa muislamu? wazungu wenzao russia wanawageuka na kuwasiliti itakua waarabu

mkuu unapogusia Marekani na Saudi au nchi yoyote ya Uarabuni kuna element za Udini ndani yake. Na hata baadhi ya wachangiaji watakuwa wakidini zaidi.Saudi Arabia inaheshima yake kwenye ulimwengu wa kidini.Na pengine inaweza kuonekana ni nchi takatifu sana isiyo n.k. Na pia ni close ally wa US but not permanent.

US protest democracy. Marazote Antagonists wanatumia kivuli cha DINI kuipinga US. Na huko wananufaika na sympathy kubwa mno kutoka kwa waumini.
Pia kuna Swala la uelewa wa waumini maana ya demokrasia katika ulimwengu wa Kiislamu ni changamoto tosha.
unapahamasisha unaweza kukuta unapinga imani yao.

Are Muslims confortable to see the US(christian country) trying to preach democracy in the Islamic country?

Kwa westerners; Democracy ni pana sana: inahusisha UHURU wa kueneza dini, kuabudu, Muumini kuhama dini, kukataa uwepo wa Mungu, n.k.
Je "sharia" katika uislamu ina tolerate democracy?

kiufupi kuruhusu Ukristo katika nchi ya kiislamu ni wazi kuwa uislamu utapungua.(sio kuisha)kwani kuna watu ni waislamu kwakuwa hawajui zaidi ya uislamu duniani. Kwani hata US kuna watu walijiunga na uislamu baada ya kuusikia, ilipotokea mlipuko wa september 11.2001.Pengine Mimi na wewe tunasikia kuhusu imani ya budha na hindu, Rastafari lakini hatuwezi kuhamia kwakuwa hatuijui vizuri imani yao.
Na Democracy ina demand uhuru wa fikra na taarifa na kuishi kwa kupenda bila kulazimishwa.Hivyo democracy inaweza kua Adui mkubwa wa ustawi wa Uislamu katika maeneo ya waislamu popote dunini.

Waislamu wanaoilaumu Saudi Arabia, sio promising friend wa US. kwa kiwango kilekile ama kuuzidi uongozi wa Saudi Arabia. Na wengi wao inadaiwa ni Maadui wa tawala za Saudia na US kwa pamoja ambapo, mikakati yao dhidi ya marekani inagonga mwamba kwa uongozi wa Saudi Arabia, ambao hauwapi nafasi hivyo wanatumia mwanya huo huo kuichonganisha Saudi arabia na US. Ili US aanze kuupinga utawala ule.

US wanaangalia repurcussion ya vitendo vyao; US either waendelee kuvumilia SAUDI government kulinda interest relation au wapingane nao ili waislamu duniani waseme dini yao inapingwa. i think the strongest person is the one responsive to change.
And US made a right decision.
 
ofcoz kwa upande wake us kamake right decision lakini ndo unafiki huo wenyewe ninaozungumzia na haact kama super power wala sio mtetezi wa wanyinge coz vitendo vinavyofanywa na saudia arabia angefanya nchi nyingine us angemshtumu na kumuwekea vikwazo,hapo ndo hoja yangu ilipo.!
 
saudia atakuja kuchenjiwa na marekani labda pale utawala wa king abdallah utakapotolewa marekanai na kuja regime ambayo haimsuport mmarekani otherwise bado wapo wapo pampja sana co marekani anafaidika sana na mafuta ya saudia
marekani sidhani kama bado ananunua mafuta toka saud,kwani licha ya kuzalisha marekani wananua mafuta venezuela,nigeria na nadhani angola.

Ishu ipo kwenye petrodollar,pia saud arabia pesa yao imewekezwa sana marekani kwa mabilioni ndo maana marekani anaamua kufumbia macho mambo ya saudia.
 
hapana mkuu maekani na saudia wana patnership ya ya kuuziana mafuta though ni saudia ndo anamuuzia mmarekani kuliko kinyume chake sana na inasemekana marekani anayo akiba kubwa sana ya mafuta ameihifadhi ila nazidi kununua zaidia na kuhifadhi kila siku,both kwa makubaliano au kwa maguvu.
 
Marekani haiwez kuishambulia Saudi Arabia mpk dunia inaisha na siyo kwa sababu Saudis Ana nguvu kubwa za kijeshi..ni Sababu za kidini zaidi Saudi Arabia ni sehem takatifu zaidi kwa waumini wa dini ya kiislamu kwa hyo kitendo cha marekani kuivamia Saudis atakuwa ametangaza vita na waumini wa dini ya kiislamu duniani kote ambayo inaweza kugeuka ikawa vita ya dunia nzima ni km wakristo uivamie Vatican itakuwa disaster..... hicho ndyo kinachofanya marekani aiogope Saudi Arabia na anajitahid ku behave ili acje akaharibu uhusiano wake na Saudia tht y hata wakifanya madudu anaawagalia tu
 
ofcoz kama binadam yoyote unaangalia maslai kwanza .America get oil from Saudi Arabia.and Saudia Arabia get money and security from America .sasa unategemea nini? hata ungekuwa wewe mtoa mada,ungeangalia maslai yako na family yako na Taifa lako.hakuna kingine.ndiyo ilivyo hata kwa Tanzania ,tunamaslai DRC tukapeleka jeshi kule kumsaidia Kabila na jeshi lake,tukivaa koti la,UN but ukweli wa mambo tuna biashara nyingi DRC,lazima tuangalie maslai yetu kwanza,na ndicho kinachomuuma Kagame.mkuu maslai kwanza
 
Back
Top Bottom